Wakirudi nyumbani kwao hutafutiwa watu wa kufanya nao mapenzi, watoto wote hawawezi kuwa wako, lazima tuu watafute mmoja wa kimanyema na ukishangaa shangaa watoto wote wanakuwa ni wa watu wa kabila lao
I can feel the pain ya mwamba, umeona utulie na usiwe na kinyongo nae wala kuwa na npango wa kumdhuru. watu wengine wanaweza wakahisi ni ukomavu kumbe ni kwamba you might be so weak inside kwamba you can't do anything kwake
Hii inaweza ikawa inachagizwa na either unampenda sana, umemzoea sana...
Habari za wakati huu ndugu na marafiki katika jukwaa la MMU
Kuna hiki kitu huwa kinanipa wakati mgumu sana kila nikikaa na kutafakari. Binafsi mimi ni kijana middle of twenties na bado sijabahatika kupata mtoto kutokana na mazingira ambayo labda yanatokea ukiachilia mbali kwamba bado sijaoa...
Me nilikutana na mburukenge moja ile haina akili kabisa,
Alikua anaishi kwa dada yake na alikuwa anataka kupanga, akawa ananiletea bajeti zake za kipuuzi sjui kodi mara kitanda na jiko la gesi. Sasa nikawa namuelekeza kuwa kwa saiv sina hela kwa sababu hela nimeitumia kwenye baadhi ya masuala...
Kuna mambo mengine ukiwa unayafanya ni ya kawaida tuu ila ukikutwa unafanya yanakuwa siyo ya kawaida.
Binafsi mimi nilikutwa na mshua nikimbandua housegirl jikoni. Baada ya kumaliza shahada yangu ya kwanza nilirudi maskani kwa ajili ya kujipanga kivingine baada ya kumaliza shule.
Sasa kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.