Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 15,763
- 50,194
Hua n nn?mara nyingi huwa si mkojo
Hua n nn?mara nyingi huwa si mkojo
Kuna watu wavivu kuoga jamani...kuna mwingine akifika geto unamwambia tu vizuri, kaoge au tukaoge, anakataa ninachofanya naenda kuchota kikonbe kimoja cha maji nammwagia.
Acha nikae single tu, nimsubili wa ubavu sijui nampata lini.
Bomu lake sio poaAisee!
Natengeneza hesabu hapa...
Majasho+ harufu ya mdomo+ pafyumu feki
Weeeeeee nani kasemaaKwa wanandoa tu...
And you what is your best ??That is what we are best at sisi Watanganyika.
Hapana bana inakuaga mkojo mzeeNo 3 mkojo kubana halitakaa liishe na Ile mara nyingi huwa si mkojo,
Mmesema n Kwa wanandoa Tu okay Sawa.
Iyo kweli itabidi upambane na hali yako tuuSio rahisi maana zali hua linawatokea ghafla
jamaa katoa na marufuku kujamba mana naona kagusia kwenye mlo😆😆😆😆😆 dah kwahhiyo nikibanwa mkojo nisiende
Huyu anazungumzia penzi jipya sisi wakongwe ni parte after partejamaa katoa na marufuku kujamba mana naona kagusia kwenye mlo
hawa ndio wale wananguo za sikukuHuyu anazungumzia penzi jipya sisi wakongwe ni parte after parte
Wanafanya na anniversaryhawa ndio wale wanaguo za sikuku
mtu kupiga mswali sawasawa hadi akachakate alafu nafikiri hayuko kwenye ndoa ...mtu unapaswa kuwa nadhifu nafikkiri mfano mtu uko na mke ndani eti unamwambia subiri kwanza nikapige mswaki,nishushe diga,sijui nimeshiba ngoja dona lisagike nk tutafika kweliWanafanya na anniversary
Weeeeee usiniambie!Hapo kwenye usafi ni muhimu mno, mambo ya kuparamiana bila kuoga romance unasikia chumvi chumvi ya mwili siyo poa![]()