Recent content by rukapa

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kati ya sababu zote zilizotolewa, ZEC itufafanulie hili

    si rahisi kujibiwa maana ni wazi wewe uko upande gani tunahitaji tume ijibu maswali yanayohusu uchaguzi pasipo kubeza au kisifia mtu yeyote isipokuwa haki za wapiga kura ambazo nazo haki ya mmoja isipuuze ya mwingine.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kila nikiikumbuka ESCROW siitaki kuisikia CCM!

    je ukikumbuka richmond unampenda nani?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Muhimu: Kingunge, Nape na Kikwete

    Heshimu mawazo ya wenzako upate kuheshimika maana akili ni nywele kila mtu ana zake.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Maaskofu, wananchi ‘wamchanachana’ Slaa

    alichosema slaa hata kama si kweli kwa mwenye busara kimeingia akilini kwani kwa hawa maaskofu waliojibu wanaonekana kuwa karibu na lowasa muda fulani.
Back
Top Bottom