Recent content by Ruhinda jr

  1. R

    JamiiForums Tanzania Pisi Kali kwa hapa kishiri-mwanza zinapatikana wapi??

    Sogea chadema hapo zipo nyingi
  2. R

    JamiiForums Tanzania Bashungwa ni Waziri wa ulinzi hapo kijijini kwake amesaidia vijana wangapi wajiunge na JESHI la POLISI au wapate ajira?

    Hiyo ni kawaida kwa jamii ya wakurya na wahaya, Kuna spelling fulani tumeathiriwa na lugha yetu mama. Wahaya H na R na ng'o ni Kisanga. Hata akitamka maneno yanayohusiana na hizo herufi lazima arejeshe mfumo mzima wa herufi kwenye akili kwanza ndio atamke.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Bashungwa ni Waziri wa ulinzi hapo kijijini kwake amesaidia vijana wangapi wajiunge na JESHI la POLISI au wapate ajira?

    Bashungwa ni Mnyambo, wanyambo wa hali ya chini watampa kura na ndo wengi. Lakini wanaojitambua hawawezi mpa kura sababu Wanasema pamoja na kushika nafasi nyingi za uwaziri ikiwemo ujenzi na Tamisemi ila ameshindwa hata kushawishi barabara ya Omurushaka to Benako ijengwe kwa kiwango cha lami.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Islamic scholar maarufu duniani Sheikh Assim Al-Hakeem amekataza waislam kusoma Logic (mantiki) and philosophy sababu zinasababisha wauache uislamu

    Logic and philosophy kivipi? Wakati hii ni professional moja tu logic si kitawi Cha philosophy?, mbona naye logic yake haina mantiki.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Serikali ianze kufuatilia uraia kuanzia 1994 kuna wakimbizi wengi wamejichomeka kwenye taasisi za umma na kidini haya matamko si bure

    Huo uwezo mnao kweli?, JPM alimtisha Niwomugizi kiongozi wa Jimbo katoliki la Lurenge, mwisho wa siku aliomba poo tena akasema ndiwe utakayenizika na kweli akamzika. Muache kujifurahisha kwenye vitu ambavyo hamna huwezo navyo. Hao viongozi waandamizi wa chama na serikali ni watiifu kwa hao...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Lissu Hana Familia Nchini na Watoto Wake Wana Uraia wa Marekani.Ndio Sababu Hana Uchungu na Tanzania hata kukitokea Machafuko na kuchinjana.

    Bora hata yangu ndogo inaweza kufikira, yako kubwa ila imejaa matope haiwezi kufikiria hata chembe.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Lissu Hana Familia Nchini na Watoto Wake Wana Uraia wa Marekani.Ndio Sababu Hana Uchungu na Tanzania hata kukitokea Machafuko na kuchinjana.

    Nchi hii ina vilaza wengi na hiki ni kilaza katika nchi yetu
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nimecheka sana hili bango nililoona hapa Korogwe mjini -Tanga

    Hapo korogwe jau kweli yaani, hapo ndo kwao na marehem Kijazi, ndo kwa Merry Chatanda, kwa Mufti Zuberi na wengine wengi maarufu ila hata project ya maji tu wameshindwa. Maji yanaweza kata hadi wiki tatu Ndo wilaya iliyo bahatika kupata viongozi wachapa kazi mfano Robert Gabriel, Mrisho Gambo...
  9. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Patrick Asenga afukuzwa kwenye kikao Segerea kwa kupinga ajenda ya 'No Reforms No Election'

    K Kwenu hiyo demokrasia hata ya wanachama kutomtaka kiongozi wao mnayo?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji Juma Aweso, Dodoma Jiji hakuna maji zaidi ya wiki

    Huku maji full kabisa
Back
Top Bottom