Recent content by Rugwa

  1. Rugwa

    Naanza kutilia shaka uwezo wa Rais Samia kuongoza Taifa

    Ha ha ha ha haaaaaaa.....mamaaaaaa!
  2. Rugwa

    Hotuba ya Zitto Kabwe kwa Watanzania. Asema Mashtaka ya Mbowe yanachochea chuki na kupasua Nchi

    Zitto-hopeless class. Mdini,ndumilakuwili,mpiga-deal.
  3. Rugwa

    Hotuba ya Zitto Kabwe kwa Watanzania. Asema Mashtaka ya Mbowe yanachochea chuki na kupasua Nchi

    Zitto-hopeless class. Mdini,ndumilakuwili,mpiga-deal.
  4. Rugwa

    Rais Samia ameshazidiwa na wapigaji suala la bei ya petroli?

    Nchi imerudi awamu ya nne(John-walker).
  5. Rugwa

    Rais Samia ameshazidiwa na wapigaji suala la bei ya petroli?

    Ukizungukwa na wapiga deal....eti wafurahisha watu..utavuna mabua.
  6. Rugwa

    Kama tumefikia hatua ya kuachia watuhumiwa kwa sababu za kisiasa, Taifa letu linaelekea pabaya sana

    Hii ndiyo sahihi,hakuna kingine. Hapa duniani uwezi furahisha kila mtu!
  7. Rugwa

    Tanzania inahitaji Rais Fyatu?

    Safi
  8. Rugwa

    Rais Mstaafu Dkt. Kikwete akutana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania

    Ha ha ha! Dalali,hata umwenyekiti wa kijiji hafai.
  9. Rugwa

    Jenerali Ulimwengu: Wazalendo wote wanatakiwa kumuunga mkono Rais Samia

    Ulimwengu ni mzee msanii tu. Anaenda na upepo. Ataje hao waliobambikiwa tuwajue. Nchi hii ukipeleka wapigaji fedha serikali mahakamani ni shida tu...Jajiz,hakimuz,advocates-rushwa. Serikali kama hii ya Samia ikienda kwa kulialia na sifa za akina Ulimwengu itavuna mabua. Tutarudi kulekule kwa...
  10. Rugwa

    Bila udikteta wenye akili Afrika hatutaendelea. Demokrasia ni mtego uliotunasa

    Ha ha ha ha..hapo ndipo awamu ya 6 ita-fail.
  11. Rugwa

    Rais Samia chonde chonde rudi tena Bandari, kuna wajanja wanaanza kuku-beep

    Watanzania mdomo mdomo tu. Tulirogwa na nani? Mfanyakazi akiiba serikali tunamsifia. Mitaani anasifiwa kweli..Oooh jamaa mkali. Akipigwa chini-anaonewa afikishwe kwenye vyombo vya sheria. Akifikishwa mahakamani-atoa fedha-huru. Huduma za jamii-duni! Jamii ya K-Tz itaendelea kuwa na huduma duni...
  12. Rugwa

    Mama Samia ulitukosea sana Wana-CCM kwa zawadi ya Nyalandu siku ya mkutano mkuu Dodoma

    Nchi yarudi kwa mstaafu dhaifu-JK(John Walker)
Back
Top Bottom