Recent content by RugeWashington

  1. R

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Umeandika Mengi sana Mh. Ila umetamka saana TEC TEC japo ungejibu ata kifungu kimoja cha katiba au ata kifungu kimoja cha Mkataba walichoquote , uzi wako ungelileta maana. Tena Watanzania sielewi hii ni nini au ni ugonjwaambao umetokea wapi, Hivi kwa nini sasa hivi imekuwa kama ni utamaduni wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Waraka umemtoa pangoni “mwenyewe”!

    Ndugu zangu tuombee Nchi yetu , Tumuombee sana Rais wetu kiongozi wetu. Tunaitaji maombi ya kuja pamoja na Kusimama pamoja Kumuombea hili awe imara kwa kuchukua maamzi sahihi. Naamini atatuvusha Salama kama March 2021. Mi binafsi naona mbali na kuwa ni viongozi wa Kiimani (Dini), bado ni...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mpasuko mkubwa kwenye Baraza la Mawaziri kisa kuuzwa kwa Bandari

    Rais Samia ndio M/kiti wa Ccm na Amiri Jeshi Mkuu Ulichokiandika kinahusu wapi kwenye kujibu au kujenga oja yako au kupinga au kukubaliana na mleta mada? Naquote maneno yako 》Rubbish 》Kama una akili ndogo Then tafakari nani anayastahili
  4. R

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Bunge: Kuna mapungufu katika Mkataba wa Bandari na DP World; ukomo wake uwekwe wazi

    Credit kubwa sio kwa Chadema, Hapa ni Wapewe Credit zao Dr.Slaa na club house, na Wanasheria na wanaharakati waliokuwa wakifafanua katika mlengo wa kisheria kifungu kwa kifungu Kisheria(High voltage). Na sio oja za Aliesaini Mzanzbr, Katibu mkuu and Presdent orgin( Low voltage
  5. R

    JamiiForums Tanzania CCM na Serikali jibuni hoja za Humphrey Polepole, msimzime kidola

    Anapumzika. Amemaliza hawamu yao ya tangu 2015-2025. Kilichotokea ndo hivyo kikatiba imempasa kumalizia safari waliyotuhaidi sisi wananchi Akiwa yeye kama msaidizi na Dreva mkuu katika ilani ya kurasa 303 ya 2020. Dreva kapata tatzo katkati ya safari Msaidizi kashika usukani kukamilisha mkataba...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Whistleblower: Kashfa nzito suala la sukari, wamo vigogo wazito

    Wambie wenzako waliokutuma waache kujitekenya na kucheka wenyewe. Ujue Watanzania kwa sasa tupo makini na unachozungumzia ni utumbo mtupu. Kama ni kwa nia ya kushafisha kauli ya juzi, ukweli nkwambie wazi umefeli kabisa, rudi na data zako hizo ulizopewa za kipropaganda dhaifu kajipangeni upya na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili Samia Suluhu atakuwa Rais wa muhula mmoja pekee, dalili hizo ni hizi...

    Kichwa cha habari na utangulizi wako sikatai, ila sasa hoja zako zote tatu ni dhaifu sana Mkuu!!!! Kajipange upya.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani ambayo Jenerali Venance Mabeyo anataka kumpa Rais Samia Suluhu?

    Kauli hii Kwa mtu kama CDF msiichukulie kiwepesi. Jua yule sio mwana siasa wala mtu wa kusimama majukwaani . Mimi Kila kauli iliyobeba Hotuba yake, naipa uzito sana . However, we real have a very Smart CDF Ambae hakujua hapo kabla sasa ndo ajue , kuna watu katika hii Nchi kwa sabbu ya sisi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani ambayo Jenerali Venance Mabeyo anataka kumpa Rais Samia Suluhu?

    Hapa umenena, huu ulikuwa ujumbe kwa baadhi ya watu au mtu, kwani alikuwa na uwezo wa kukaa kimya na kumuendea kimya kama Boss wake
  10. R

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Nani anaongoza nchi yetu?

    Watanzania tuwaamini viongozi wetu, Mh. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kauli ya kinywa chake alinena na watanzania, Pili Makamu wa Rais kwa kauli thabiti ya kinywa chake naye alinena, Sasa sioni wapi Tatizo lilipo, Cha msingi kama ambavyo Mh.Zitto umekuwa mstari wa mbele...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ujumbe huu unawahusu CHADEMA: Wekeni akiba ya Maneno, msiwahukumu Wazanzibar wala ACT-Wazalendo

    Acha kutuaminisha oja zisizokuwa na mshiko ili kuondoa mjadala mezani. Swali la Dw kwa katibu mkuu lilikuwa" Kwa kauli yenu sasa na kukubali kuunda serikali ya pamoja, ni kweli sasa mnaitambua na kuridhia uchaguzi mkuu 2020 na hivyo mnaitambua serikali serikali iliyopo madarakani. Hapa jibu...
Back
Top Bottom