una maono murua sanaa! lkn yamekuja kwa kuchelewa sana! laiti wangekupa nafasi ccm ya kutoa ushauri wako kama miezi 6 hv iliyopita wakayafanyia kz hakika hali icngekuwa hv ndan ya chama na nje ya chama! lkn tatizo yaonekana umati umeshaamua vinginevyo!
nimeshangaa! huyo muuliza swali alitaka kuuliza swali tu ili ajibiwe' au alitaka atupe wasifu wa lowasa? na mm nikusaidie hata wakati kikwete anaingia madarakan na akaungwa mkono cjui na ww kama ulimuunga mkono kwa lipi? sasa hao nao wanaomshabikia lowasa wana matarajio yao! kama ikitokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.