Recent content by Rufiji

  1. Rufiji

    JamiiForums Tanzania TPDC wanaposema gesi ya majumbani (LPG) inatoka nje ya nchi wanamaana gani ilihali tunachimba gesi hapa Tanzania

    Lakini inapokuja kwenye kununua ma-vx hatuulizi kama tuna uwezo...
  2. Rufiji

    JamiiForums Tanzania TPDC wanaposema gesi ya majumbani (LPG) inatoka nje ya nchi wanamaana gani ilihali tunachimba gesi hapa Tanzania

    Baada uende kuwafundisha malofa wa CCM ambao wameshindwa kuwatoa wananchi kwenye umasikini pamoja na kuwa na 60 trillion cubic feet za gesi asilia hapo Mtwara.
  3. Rufiji

    JamiiForums Tanzania TPDC wanaposema gesi ya majumbani (LPG) inatoka nje ya nchi wanamaana gani ilihali tunachimba gesi hapa Tanzania

    Kwani bomba la gesi lililoenda huko Wazo toka Mtwara lilipita mbinguni? Sililipita kwenye maeneo mbali mbali ya jiji la Dar? Kwa hiyo wameshindwa kuweka hayo mabomba huko Oysterbay, Masaki, Mbezi Beach,Kigamboni kwa ajili ya squatter?
  4. Rufiji

    JamiiForums Tanzania TPDC wanaposema gesi ya majumbani (LPG) inatoka nje ya nchi wanamaana gani ilihali tunachimba gesi hapa Tanzania

    Asante, kwa hiyo issue hapa sio kuwa hatuwezi kutumia gesi ya Mtwara bali hawataki kujenga mabomba ya kupeleka hiyo gesi majumbani. Na kama wangeweza kufanya hivyo wangeingingilia biashara ya Rostam!
  5. Rufiji

    JamiiForums Tanzania TPDC wanaposema gesi ya majumbani (LPG) inatoka nje ya nchi wanamaana gani ilihali tunachimba gesi hapa Tanzania

    Sidhani kama unaelewa kitu unachoongelea! Gesi toka Mtwara inatumika kupikia hapo Mikocheni na hata kwenye baadhi ya ma-hotel makubwa. Ukienda kwa wenzetu gesi inayotumika kupikia sio LPG ya kwenye mitungi bali ni natural gas inayoletwa na mabomba kama ya hapo Mikocheni.
  6. Rufiji

    JamiiForums Tanzania TPDC wanaposema gesi ya majumbani (LPG) inatoka nje ya nchi wanamaana gani ilihali tunachimba gesi hapa Tanzania

    Kwa hiyo ule mradi wa TPDC unaowezesha watu wa sehemu za Mikocheni na Mtwara kutumia gesi majumbani kwao unatumia gesi ipi?
  7. Rufiji

    JamiiForums Tanzania Tumefikaje hapa tulipo?

    Nashangaa umeandika yote hayo, lakini haujagusia yaliyotokea October 29. Hauoni kuwa hiyo ni moja ya sababu iliyoligawa taifa?
  8. Rufiji

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Wamakonde mmenufaika na nini?
  9. Rufiji

    JamiiForums Tanzania Usikose Kuangalia TPDC Inavyo Fanya Makubwa Sekta za Mafuta Na Gesi, Ni Leo Saa 3:40 Usiku Huu on Star TV

    Plan ilikuwa kujenga mabomba kwenda Kenya; ila, kwa sasa Rostam naye kaanzisha kiwanda chake cha kusindika kesi… Kwa hiyo, hiyo plan haiwezi kuendelea
  10. Rufiji

    JamiiForums Tanzania Meli yenye Kupeperusha Bendera ya Tanzania yalipuliwa na Russia

    Meli yenye bendera ya Tanzania imelipuliwa na Jeshi la Russia huko kwenye Bahari Nyeusi. Russia wanadai meli hiyoilikuwa inatumika kusaidia Ukraine. Ni vizuri serikali yetu ikatoa majibu ya kina kuhusu ili tukio. Hasa ukizingatia ya kuwa tuna mahusiano mazuri na Russia na juzi tuu viongozi...
  11. Rufiji

    JamiiForums Tanzania Kimya cha wanaharakati wa Tanzania na CHADEMA kuhusu mwamuzi wa Afrika aliyekataliwa kuingia Marekani

    Ongelea kwanza Watanganyika wanavyofikuzwa huko kwenu Zanzibar…
  12. Rufiji

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi: Tusikubali Taifa letu kuchezewa na kuingizwa kwenye mambo yasiyofaa

    Huyu lofa anaenda kuwafundisha Wachagga jinsi ya kutafuta pesa?
  13. Rufiji

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na genge lake ni Wana mapinduzi waliobobea. Wanachofanya sasa ni Character assassination na kuchochea vijana

    Wapumbavu ni nyie mnaotumia platfotm ambayo mmeifungia kufanya kazi ndani ya Tanzania.
  14. Rufiji

    JamiiForums Tanzania Watu wa pwani na matusi ni mgonjwa wa macho na miwani.

    Asante sana kwa kuliongelea ili! Tena ukienda Zanzibar hali ni mbaya zaidi. Matusi imrkuwa sehemu ya msisha yao ingawaje wanajinasibu kama washika dini.
Back
Top Bottom