Mpe hiyo 30000 au 50000 mwambie nakudai, we kaa kimya,hatakulipa na hatakuja kukuomba tena hela maana atajua bado anadaiwa.Ukimwambia sikudai atarudi tena maana atajua unazo.
Mimi huwa ninawaambia watoto wangu"ukisusa kula mchana na usiku ususe na kesho yake ususe milo yote" hajawahi kutokea na wala hakutatokea mtoto kususu chakula kwenye familia yangu.
Wanawake wengi hawapendi kukaa na mama mkwe kwasababu wanakosa freedom.
Suala la kutuma pesa mimi ninafikiri anayepaswa kutumiwa pesa ya matumizi ni yule anayehusika kununua mahitaji ya nyumbani kama vyakula,sabuni n.k
Ulimfuatilia wa nini kama huwezi kumuacha?
Mna watoto na kila mtoto anamaisha yake,utawapa funzo gani wanao endapo watakuja kuomba ushauri au kusuluhishwa kwenye ndoa zao?
You are too old to break your marriage and you are old enough to solve your family conflicts yourselves.
Kama nilikuwa nina nyumba ya tope iliyoezekwa kwa nyasi nikajenga nyumba ya tofali na kuezeka kwa bati, nikala vizuri pamoja na familia yangu, watoto wangu wakasoma bila kukosa ada tayari nimewin!
Basi utakuwa na cheo kikubwa kazini kwako au una maendeleo makubwa kiuchumi maana watu wengi kua na maendeleo makubwa ni sawa na ukubwa wa umri.Ukiwa mwanaume utaitwa mzee hata kama ni kijana,ukiwa mwanamke utaitwa mama hata kama ni dada simply because umeolewa na mtu mwenye pesa au ni boss...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.