Mie nadhani hoja siyo aliyeteuliwa anatoka kabila gani, shemeji, mkwe, mume, kaka, mjomba au ndugu wa nani. Hoja ni je, pamoja na sifa anao uwezo kifikra, kimaadili na nguvu kimwili wa kutekeleza majukumu yake katika kipindi hiki cha www.com.
Huu ndio mjadala tunaotakiwa kuwa nao. Mwanzoni mwa...