Recent content by Rubber

  1. R

    Ofisi za halmashauri ya Jiji la Dodoma zijengwe upya

    Ofisi za halmashauri ya Jiji la Dodoma zijengwe upya ndani na nje ziwe nzuri mfano wa hii picha. Barabara zake ndani ya fensi ziwe za lami na mazingira yake yawe mazuri.
  2. R

    Naomba leo mniache niseme na Wasabato, nimeamua kuamka nao leo

    Hakuna mtu wa ovyo bali wa ovyo ni Shetani. Hapo wewe ulitakiwa umsaidie mwenzako mawazo kwamba naomba unisaidie bure kwa sababu ya dharura niliyonayo angekusaidia.
  3. R

    Software.

    Natafuta mtaalamu wa kutengeneza software. Nicheki inbox kwa mawasiliano zaidi.
  4. R

    Kuwa mtulivu kunaenda sambamba na kutatua makosa

    Kuwa mtulivu kunaenda sambamba na kutatua makosa. Kuna wakati unatakiwa uwe mkali ili utatue makosa Kwa sababu waliokukosea watataka kupambana na wewe ili washinde. Kwahiyo ili uwashinde unatakiwa wakati mwingine uwe mkali Kwa sababu wewe ndiwe uliyekosewa. Siku zote kwenye kanuni za maisha...
  5. R

    Zaka au sadaka ni hiari, kuwapigia simu waumini kuwakumbusha ni kuwalazimisha

    Zaka ni fungu la kumi la mapato yako. Sadaka ni fungu la kumi la mapato yako. Jumla 20/100 Zaka ni 1/10. Sadaka 1/10. Jumla 2/10. Zaka ni 10/100. Sadaka ni 10/100. Jumla 20/100. Mfano umepata laki Moja, Zaka na Sadaka Jumla ni 20,000. Wewe utabakiwa na 80,000 mkononi Kwa ajili ya matumizi...
  6. R

    Zaka au sadaka ni hiari, kuwapigia simu waumini kuwakumbusha ni kuwalazimisha

    Zaka na Sadaka(dhabihu) ni ibada Kwa YESU na siyo hiyari. Kutorejesha ni kuiba. Malaki 3:8 Je! Mwanadamu atamwibia Mungu? Lakini ninyi mnaniibia mimi. Lakini ninyi mwasema, Tumekuibia kwa namna gani? Mmeniibia zaka na dhabihu. Malaki 3:9 Ninyi mmelaaniwa kwa laana; maana mnaniibia mimi, naam...
  7. R

    Neno Mungu lina nichefua sana mtu akilitaja

    mungu ya herufi ndogo ni Shetani.
  8. R

    Neno Mungu lina nichefua sana mtu akilitaja

    Mungu ambayo inaanza Kwa herufi kubwa ni Muumbaji wa mbingu na Dunia au Kwa lugha nyingine Mungu inayoanza Kwa herufi kubwa ni YESU KRISTO Mwenyewe. Kwa lugha nyingine anajulikana kama YEHOVA. Kutoka 6:2 Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, Mimi ni YEHOVA; Kutoka 6:3 nami nilimtokea...
  9. R

    Fundisho la Utatu haliingii akilini kabisa, mnaoamini mmetoa wapi mbona Biblia iko wazi kabisa?

    Kumbukumbu la Torati 6:4 Sikiza, Ee Israeli; BWANA, Mungu wetu, BWANA ndiye mmoja. 1 Yohana 5:8 Kwa maana wako watatu washuhudiao [mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu, na watatu hawa ni umoja. Utatu Mtakatifu ni Mungu Mmoja katika Nafsi Tatu. Hatuna Mungu Watatu. Tuna Mungu Mmoja...
  10. R

    Mnatumia njia gani kukabiliana na msongo wa mawazo (stress)?

    Msongo ni Kwa sababu Jambo ulilonalo halijapata ufumbuzi likipata ufumbuzi msongo unaisha. Namna ya kutatua Jambo linalokupa msongo ni kulikabidhi Kwa Yesu Kwa njia ya maombi. Utapata ufumbuzi. Pia tumia panadol na vitunguu saumu vya asilia na tangawizi. Ili kuifanya akili itulie. Akili...
  11. R

    Mliofanikiwa kutoa Zaka asilimia 10% ya vipato vyenu mmewezaje? Binafsi naishia kusaidia 2% hadi 4%

    Tunatoa Zaka na Sadaka Kwa kuwezeshwa na Yesu. Ukiomba Yesu akuwezeshe anakuwezesha kutoa Zaka na Sadaka Kwa uaminifu.
  12. R

    Ni lazima au hiyari kutoa zaka (fedha)?

    Siyo lazima wala siyo hiari bali Zaka na Sadaka ni ya YESU. Kutotoa ni kukatalia iliyo sehemu ya YESU MUNGU MKUU.
  13. R

    Mliofanikiwa kutoa Zaka asilimia 10% ya vipato vyenu mmewezaje? Binafsi naishia kusaidia 2% hadi 4%

    Zak ni 10% na Sadaka ni 10% = 20% 20/100 × 50000 = 10,000 Zaka na Sadaka Jumla. Zaka na Sadaka ni Kwa ajili ya kueneza Injili na Kwa ajili ya Watoainjili. Inatolewa kanisani au Kwa utaratibu mwingine uliotolewa na kanisa.
  14. R

    Vyoo na mabafu yawe na paa

    Technologia imekua sana. Kama ukoo chooni au bafuni Satelaiti zinakuona. Hivyo basi Choo na Bafu ambazo hazina paa ziwe na paa.
  15. R

    Mawazo kwenye ufumbuzi.

    Hatutakiwi kuyakita mawazo yetu kwenye matatizo yanayotokea bali tunatakiwa kuyakita mawazo yetu kwenye ufumbuzi wa kuondoa matatizo yanayotokea.
Back
Top Bottom