Bora ukaendelea kukaa kimia maana siku zinavyo enda ndio unazidi kudhihirisha kuwa ww ni mtupu kama kopo kichwani.
Netanyau baada ya vita kuanza aliteua baraza la vita na jukumu la baraza hilo ni kusimamia vita inayo endelea gaza hivyo waziri ana maamuzi ya moja kwa moja juu ya vita hiyo maana...
Mkuu mm naongelea uhalisia ww unaongelea mambo ya nadharia hapa.
Alafu kesi za kudai fidia sio rahisi kiasi hicho kama unavyo jaribu kutuaminisha.
Huyo mzee kama ni mtu mwenye pesa kumzidi huyo jamaa hakuna kitu atamfanya na kuhama atahama tu.
Ndio maana nikasema asikuze mambo arudushiwe...
Zitaje hizi zana za kisasa ambazo wamesha tumia hamas mpaka sasa.
Silaha kubwa ya Hamas kwenye vita hii ni ant tank tu ambayo na yenyewe ametengeneza mwenyewe.
Ww jamaa kumbe hata sio mfuatiriaji wa habari zinazo endelea duniani ndio maana unaongoza kuandika mashudu humu, aliye toa tishio la kutumia nyukilia ni mojawapo ya mawaziri wanao unda baraza la vita lililo undwa na Netanyau sasa kama ww hujui basi inabidi tukushangae uko dunia gani kwa sababu...
Hakuna sehemu yeyote niliyo mtisha ila nimemkumbusha hali halisi ya nchi yetu, kwani haki ngapi za watu zinazurumiwa na hao wanasheria wamejaa mitaani?
Yeye kama mzee anakubali kukurudishia hela ya pango sioni haja ya kukuza mambo masuala ya muda ahesabu tu kama hasara tu kwenye biashara...
Ww jamaa mbona unachukilia mambo kirahisi rahisi ? Kumbuka hii ni bongo na bongo mambo mengi huwa yanaenda kijanja janja na kujuana kwingi huwezi jua huyo mzee anajiamini nn.
Jamaa achukue hela yake ya pango na matengenezo aliyo yafanya asepe kwani nyumba ni hiyo tu?
Mm ninacho kiona hapa ww...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.