January anajinadi kama mwana mageuzi, mwenye mawazo chanya. Ubunge aliupata kwa utata, na hata kwenye ubunge ameshindwa kazi, kwani bumbuli ndio moja ya Majimbo yaliyo nyuma sana kimaendeleo. Je, january anawezaje kujinadi kama Rais mtarajiwa wakati jimbo limemshinda?
Keynote Address, PURDUE University
April 13, 2015
By Dr. Wilbrod Slaa
Over a year and a half ago, I visited Indiana, toured various places, met different state and federal officials, visited various learning institutions and also toured Perdue. At Purdue, I met Dr. Suresh Garimella and other...
Dr. Slaa special reserved packing Space
Dr. Slaa his wfe and the Meya of City of Indianapolis
Dr. Slaa at a Radio Station discussion political situation in Tanzania
Dr. Slaa at the University of Indianapolis discussing potential partnership with administrators of the University
Dr. Slaa...
Momentarily, Dr. Wil Slaa will be live broadcasted in one of the largest talk Shows in Mid-Western United States.To listen to the talk show live, please follow the link April 14 - Dr. Willibrod Peter Slaa | 93.1 WIBC
Dr. Slaa, Will also be giving lectures at Indiana and Butler Universities, as...
ameonyesha ujasiri, hekima, busara pamoja na upendo kwa taifa lake. Amejitolea maisha yake kwa ajili ya Watanzania kama alivyojitoa Musa dhidi ya uatawala wa Pharao
Niwie radhi, ila sina budi kutamka kwamba watu kama wewe wamelaaniwa. Inawezekanaje wewe pamoja na kundi lako mporomoshe matusi baada ya kushindwa na hoja?
Ila sishangai, kwa maana umasikini chini ya utawala wa CCM imewafanya watu wengi wawe vichaa
Mmefika hamna la kusema, kwani hata wenyewe mnajua kwamba huyu ndiye kiongozi atakayetuokoa. Ila tu onyo, msijaribu kuyachezea maisha yake, kama kweli mnapendelea kuwepo na kuendelea kufanya ufisadi. Mtang'olewa kama Ghadafi
Tunakoelekea sidhani kuna mtanzania, anaweza kula pilau akawapa Mashetani kura. Kutokana na njaa waliyonayo watanzania, bora wakala ila kura wakampigia Dr. slaa. Tuungane tusambaze ujumbe kwa ndugu zetu wote. Hadi sasa, ndugu zangu zaidi ya 30 waliokuwa CCM Tayari washakuja kwenye ukombozi wa 2015
Machozi ya watanzania iwalaani hadi vitukuu vyao. Hawa wana Chama Cha Mashetani kuwashabikia ni sawa na kumshabikia shetani. Wana CCM wote ni ukoo wenye laana. Tunaelekea wokovu wa kweli, na yeyote atakayejaribu kukwamisha wokovu wote, bahari itafunguka na kummeza.
Madhambi yao yote...
Katika kila kizazi, Mungu uwatumia watu wake wachache kuwaongoza watu wake kutoka katika matatizo yanayowakabili. Mungu alimtumia Musa kuwaongoza wana wa Israeli kutoka utwamini Misri kuelekea nchi ya ahadi yenye maziwa na asali. Nchi ya Canaan. Mungu alimpa Musa uwezo wa kufanya miujiza...
Akiwa katika ziara yake nchini Marekani Mwaka Jana, Katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa siyo tu kwamba alikuwa kila alikokwenda, bali aliacha historia. Kiongozi huyu mkuu wa upinzani alionyesha kukubalika kwa kiwango kikubwa miongoni mwa viongozi wa ngazi mbali mbali nchini humo.
Kutokana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.