Recent content by RSR

  1. RSR

    Mishahara juu

    Mimi wa ajira mpya April 2014 sijaona mshahara vp kuna wa ajira mpya aliyeingiziwa kwa kua inasemekana mishahara imeingizwa toka hazina haijapitia halmashauri
  2. RSR

    Vyeti vya DUCE vimeshatoka?

    Vimetoka Nenda udsm -Main Campus ukiwa na copy ya transcript, kitambulisho cha kazi au cha kura pamoja na tsh 5,000 utapewa cheti chako
  3. RSR

    Brazil Itabaki kuwa Brazil. Tuachieni Brazil Yetu

    Bora Maximo na Coutinho wa Yanga walikimbia hii aibu mapema
  4. RSR

    msaada wenu.: teaching ed

    Inawezekana tumia matokeo ya kidato cha sita kufanya application'
  5. RSR

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kuna ndugu yangu yupo mbulu idara ya sekondari anataka kubadilishana na Mwl kutoka kibaha' mkuranga' rufiji au bagamoyo mcheki kwenye no. 0719 221 051
  6. RSR

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo Shinyanga tuwasiliane 0654495591
  7. RSR

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nimepangiwa MSALALA-KAHAMA(SHINYANGA) idara Sekondari aliyepangwa SAME-KILIMANJARO nichek hapa 0654495591
  8. RSR

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwl wa Secondary halmashauri ya Msalala-Kahama(Shinyanga) natafuta mwl wa kubadilishana kutoka Kilimanjaro' 0654495591. 0754033018
  9. RSR

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwalim wa Secondary nipo Isaka secondary school iliyopo halmashauri ya Msalala-Kahama,Shinyanga maeneo haya huduma zote za umeme, usafiri, mawasiliano, maji, hospital zipo nataka kusogea karibu na nyumbani hivyo mwlim aliye wilaya ya Same-Kilimanjaro au wilaya zilizoko Mkoa wa...
  10. RSR

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anaependa kuja Halmashauri ya Msalala-(Kahama,Shinyanga) nipo Shule ya Secondary Isaka' napenda kurudi nyumbani Same-Kilimanjaro.0754033018, 0654495591
  11. RSR

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nimesema nataka Kilimanjaro
  12. RSR

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo Isaka Secondary halmashauri ya Msalala-(kahama,Shinyanga) huduma za umeme,maji,hospital,usafiri zote zipo ila nataka kurudi nyumbani Same-Kilimanjaro Mwl aliye wiliya ya Same au wilaya yeyoye mkoa wa Kilimanjaro angependa kuja kahama-shinyanga tunawasiliane.0654495591, 0754033018
  13. RSR

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo Isaka Secondary halmashauri ya Msalala-(kahama,shinyanga) nataka Mwl wa kubadilishana kutoka mkoa wa Kilimanjaro.0754033018
  14. RSR

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo SHINYANGA -MSALALA idara Secondary nataka kurudi KILIMANJARO.0754033018, 0654495591
  15. RSR

    Hatimae nishafika.

    Nmesikia daraja limesombwa na mafuriko
Back
Top Bottom