Watu wajinga kweli, hivi hujuwi unaposema tamisemi ndo huyo huyo halmashauri?, halmashauri ni mtendaji wa tamisemi, ni sawa na kkusema vituo vya polisi kupokea maelekezo ya wizara ya mambo ya ndani,
Kuna mjomba mmoja pale mbeya mtaa Wa magege ilemi anaitwa sanga ana kibaa chake maarufu sana wakazi wa mbeya wanakijua, ni kifinyu sana kieneo, jengo la bar ni kama vyumba viwili na sebule tuu ila watu wanabanana hakuna kupumua, unaambiwa mchawi ninu, mle kuna mabinti wanyaturu na wale wa dodoma...
Mwenzenu baada ya kufuatilia podcast na documentary baadhi za wakubwa huko u tube kuhusiana na uwekezaji wa hisa(stock) nimeamua nianze mdogo mdogo kwa nilichonacho, hivyo nitakuwa natumia mbinu ya kutupia kidogo kidogo kila mwezi mpaka nitakapofikia.
Sasa swali langu wazee, nimedownload app...
Nimeona habari ya vifo vya mahabusu na polisi waliopata ajali wakielekea mahakamani huko singida, na komenti nyingi mitandaoni wanashangilia haswa kwa kifo cha askari sasa nawasihi watanganyika muache masihara kwenye mambo yenye usiriaz nadhani akili zitawakaa sana yakiwakuta personal ktk...
Nimekuwa nikisikia sana mitaani toka kwa watu mbalimbali kuwa sio poa kudate na mwanamke anayejilipia geto na kuishi kwa kipato chake binafsi, vipi naomba mniambie huwa ni kwanini?
Wana changamoto gani maana mi nafikiri ukidate nae hakupigi mizinga kiviiile pia anakua amekomaa kila angle.
Wakuu mimi kama kijana ninayechipukia katika kuelekea njia ya mafanikio nimejibana bana account yangu ya mpesa ina laki tano, kama mjuavyo nikisema niidumbukize yoote katika biashara ni kama kuBET japo naweza kuotea pia, kwa sasa sijapenda kuanza biashara moja kwa moja hivyo naomba mnipe idea...
Facebook account yake imehackiwa, analog in kama kawaida, ila mesenja kuna huyo mpuuzi anawatumia watu sms vibaya mnooo yaani kila siku sms sizisopungua 20 kuhusiana na masuala ya betting, tukiangalia kwenye setting "where you log in" inaonesha jamaa yupo vietnam,.
Jamaa yangu anatumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.