Recent content by Rsaya

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nilichekwa sana Style yangu ya malezi ila leo hii watu wanatamani kuniiga

    Hongera kwa namna unavyomlea mwanao, mwanzoni nilipokua nikisoma maelezo yako nilifikiri uliamua kumuhamisha mwanao kwa sababu ya ukata. Wazazi tuliowengi tunafikiri nkija sahihi ya kuonesha upendo kwa mtoto ni kumdekeza, kumchekea hata anapokosea. Mtoto ili awe ni mwenye nidhamu akemewe...
  2. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Head Master wa Bwiru Boys, Elias Kaboja afariki dunia

    Wee umejuaje kama mgonjwa alikua anaumwa corona, kipindi kifupi ambukizwe na hapo hapo aanze kuumwa corona na hapo hapo kufa. Hata kama ugonjwa huu ni tishio lakini sio hivyo. Unamaana kila anaye kufa siku hizi anakorona sio, na kila mtu amekuwa daktari kujua mwalimu corona ndo ilimuua.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Sitaki hata kujua ilikuwa ni nini, ila wapendwa Jilindeni tu!

    Pole Sana mkuu, Pole Sana mkuu, hiyo ni sehemu ya Maisha ila nakushauri ufanye check up ya kutosha hali kama hiyo kuna jambo haliko sawa mwlini kwako.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kulikoni kila mtu hapa Dar anasema Nimonia na kifua kumsumbua?

    Utavaa barakoa mpaka lini bhana, mbona dawaa ipo ya kupiga nyungu kutisha watu tu kwa hayo mabarakoa yenu
  5. R

    JamiiForums Tanzania Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

    Unamaana gani kuwa huamini uchawi na ulozi,
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe alikuwa kicheche

    Kiki tu hamna lingine hapo wanjaribu kutengeneza skendo wapige hela hao
Back
Top Bottom