Recent content by royco

  1. R

    JamiiForums Tanzania DART majibu vipi?

    Jaman mwenyewe kujua chochote kuhusu zile nafasi za station assistant atujuze mana sielewi zimeishia wapi!
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa za DART kuita interview

    Naomba unisaidie ya station assistant
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa za DART kuita interview

    Mwenyewe gazeti atusaidie please!
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa za DART kuita interview

    Ni sheeeda jaman duuh!
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa za DART kuita interview

    Sasa walitangaza nafasi za nini kama wanafanya mazoezi inamana ni watu wao, daah, wengine tusio na ndugu tukalime tu!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina diploma ya Human Resources Management na certificate ya Public Adminstration

    Nina diploma ya Human Resources Management na certificate ya Public Adminstration, natafuta kazi yoyote. Msaada tafadhari!
Back
Top Bottom