Recent content by Royal Warrior

  1. Royal Warrior

    Msaada: Mwenye namba za Ofisi ya Speedaf Express

    Wakuu habari zenu, Naomba mwenye namba ya Speedaf express ya Tanzania anisaidie maana kuna mzigo wangu sijaupata nataka kuwauliza kama uko ofisini kwao. Natanguliza shukrani.
  2. Royal Warrior

    Msaada: Namna ya kuangalia kama nadaiwa faini ya Barabarani

    Ahsante mkuu... nimeona nadaiwa.. je nawezaje kuilipa kwa simu?
  3. Royal Warrior

    Msaada: Namna ya kuangalia kama nadaiwa faini ya Barabarani

    Habari ya sasa hivi wadau, Naomba kufundishwa namna ya kuangalia kama nadaiwa (fine za barabarani). Ahsanteni
  4. Royal Warrior

    Phone4Sale Samsung J7 PRO: 280k only

    Mm nilinunua laki 6 na nusu hiyo mwaka mmoja uliopita
  5. Royal Warrior

    Phone4Sale Samsung J7 PRO: 280k only

    Lete 240k tufanye biashara
  6. Royal Warrior

    Phone4Sale Samsung J7 PRO: 280k only

    Habari zenu wapendwa, Leo nawaletea offer nzuri kabisa. Nauza Samsung Galaxy J7 PRO kwa bei sawa na bure kabisa.. inahitajika 280,000/= tu. Naiuza kwa sababu nimepata simu nyingine hivyo hii haina kazi kwa sasa. Napatikana Dar es salaam. Njoo Pm kwa mawasiliano au weka namba yako kwenye...
  7. Royal Warrior

    Msaada wa kujua wanapouza laptop Hp battery

    Nenda Kariakoo mtaa wa Congo pale maduka ya laptop wanakua nazo.
  8. Royal Warrior

    Msaada: Kampuni inayosafirisha mizigo kwa Meli kwenda nchi za Uarabuni

    Habari zenu wakuu, Nahitaji kusafairisha kiroba cha kilo 50 (nguo) kuepeleka OMAN. Nipo Dar, ila kama hiyo kampuni itakua na branch Zanzibar itakua vizuri zaidi. Mwenye kufahamu naomba anijuze. Natanguliza shukrani
  9. Royal Warrior

    Nahitaji Mwalimu kwa ajili ya Private Tuition Advanced Physics & Chemistry (Ilala-Dar)

    Habari ya jioni. Nahitaji mwalimu wa masomo ya Physics na Chemistry (form 5) kwa ajili ya private Tuition. Muda ni wiki mbili tu. Kwa siku muda wa kusoma ni masaa 2 tu. Topics zifuatazo: PHYSICS 1. Fluid Dynamics 2. Newtons 3. Circular motion CHEMISTRY 1. Physical Chemistry (sub-topics...
  10. Royal Warrior

    Nahitaji mwalimu kwa ajili ya Private Tuition Advance Physics & Chemistry (Ilala-Dar)

    Mwalimu atakua anamfata mwanafunzi, mwanafunzi yupo ilala.. ni kweli subtopics tu. malipo maelewano.
  11. Royal Warrior

    Nahitaji mwalimu kwa ajili ya Private Tuition Advance Physics & Chemistry (Ilala-Dar)

    Habari ya jioni. Nahitaji mwalimu wa masomo ya Physics na Chemistry (form 5) kwa ajili ya private Tuition. *Muda ni wiki mbili tu. *Kwa siku muda wa kusoma ni masaa 2 tu. Topics zifuatazo. PHYSICS: 1. Fluid Dynamics 2. Newtons 3. Circular motion CHEMISTRY 1. Physical Chemistry only...
  12. Royal Warrior

    Hivi alichofanya Azam sio kosa? Mimi naona ni kutaka kupata pesa kwa NJIA ya udanganyifu

    Kama huwezi ku afford sio lazima kuangalia tv. Muhimu bei za chakula zispande, hizo vitu zingine ni anasa tu
Back
Top Bottom