Recent content by ROSTOV

  1. R

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona nchini yenye amani na usalama kama Zambia

    Aiseeee brother Hivi umekielewa ulichokiandika au umeamua tu kuandika acha hizo bwana.Mambo ya kishamba kabisa umeandika
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Wachagga wanacheza soka? Nimewahi kuwasikia akina Mwakalebela, Minziro, Masatu lakini siyo Massawe au Mushi!

    labda unipe definition yako ya" kufanikiwa kimaisha" then nitakuwa kwenye nafasi nzuri ya kujibu hilo swali Brother.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Wachagga wanacheza soka? Nimewahi kuwasikia akina Mwakalebela, Minziro, Masatu lakini siyo Massawe au Mushi!

    Kwa kweli hawawezi kuwa kama kina Ronaldo na Messi etc, kuwa unafanya kitu chenye short life span halafu unagain/unakuwa tajiri for the rest of your life span. Nimependa sana ulivyo comment yani umeona mbali sana.uko Very Visionary Brother.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kuchipuka kwa vituo vya mafuta ni ishara ya kitu gani?

    Watu wako busy, nguo zinafuliwa(laundry) sasahivi kwa Kasi Sana. Shine your eyes Brother.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira aula tena CCM, ateuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu

    duuu, ndugu yangu umetisha hii kali sana kaka
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ahmed Amasha akiwa na mfalme wa sasa wa Oman

    Hamna Ahmed Amasha hapo kaka.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Usimuonee huruma Mwanamke

    Tafsiri ni kwamba:kutokana na udhaifu wa Eva/Hawa nyoka alimdanganya.Kuishi nao kwa akili ni kujua kuanalyse kile mwanake anacho kuambia kabla ya kukitolea maamuzi sio kila kitu akuambiacho mwanamke ukimeze na kufanyia kazi bila assessment yoyote, itakula kwako mkuu.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mjue 'Banana Spider' ambaye akikuuma unasimamisha kwa muda wa zaidi ya saa

    Duu umenikumbusha mbali sana ndugu yangu,nimesoma Umbwe Secondary A level,kwa Raphael ndio ilikuwa Stand yetu.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Kampuni ya Sino Hydro walipewa tenda nyingine ya BRT licha ya Kuboronga mradi wa awali

    Umemuelewa aliandika hivyo kwa nn?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Lukuvi na Kabudi walifutwa Uwaziri

    Kama kulikuwa na umuhimu wakutangaza watapewa,kwanini isitangazwe wameshapewa?Think deep bro.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Chalinze, Pwani: Rais Samia azindua mradi wa maji na kuzungumza na Wananchi

    Duu, aisee kweli tunakazi.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe amdhihaki Tundu Lissu kwa kumuita CHIBA. Aomba radhi baada ya kulalamikiwa

    HEBU MUULIZE ZITO LABDA ANALIJUA JIBU LA SWALI LAKO NDIO MAANA AKAOMBA RADHI
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mwandamizi wa CHADEMA akutana na Kikwete, Kinana na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

    Think beyond your brain bro,issue hii iperceive katika international perspective utaelewa kitu ulichoandika ni null
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kudai Katiba Mpya alikofanya Mbowe ndiyo ambacho Rais Samia anakiita kuvunja sheria za nchi?

    UNAHAKIKA KENYA KATIBA MPYA HAIJA WASAIDIA? MUNGU TUSAIDIE
Back
Top Bottom