Recent content by Rose piere

  1. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye waume walevi njooni hapa tufutane machozi

    Huwa anarudi mwenyewe au analetwa akiwa hajitambui? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wadada hivi mnaenjoy kubambiwa kwenye mwendokasi au?

    Jamani jamani nashukuru sana mleta Uzi mwenzenu Mimi pia ni muathiriwa sana wa jambo hili na Mara nyingi napiga kelele na kuanzisha vurugu kabisaaa yaani hii tabia imekithiri sana jamani ni mbaya mtu anakung'ang'ania utafikiri mmeagana basi likifunga breki ndo mamaaaa unaweza ukojolewe looooh...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    Shirika la masoko ya Kariakoo angalia kwenye website utaona au tafuta mwananchi la tarehe 31 machi
  4. R

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    Nafikiri si lengo hapa kwetu wote walioondolewa nafasi zao zimeshatangazwa
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tunaotuma maombi ya kazi tuzingatie tangazo la kazi linahitaji nini

    Sawa mkuu haina shida
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tunaotuma maombi ya kazi tuzingatie tangazo la kazi linahitaji nini

    Sasa hapo kama hujaelewa ndo unauliza wapi hujaelewa nakufahamisha sasa watu mpaka wananitusi kosa langu kubwa nini hapo mkuu?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tunaotuma maombi ya kazi tuzingatie tangazo la kazi linahitaji nini

    Watu wanaboa sana kitu kama mtu hajaelewa bora akauliza kiuungwana lakini anakutolea maneno ya shombo kwani mtu akipata kazi au akikosa Mimi napata faida gani
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tunaotuma maombi ya kazi tuzingatie tangazo la kazi linahitaji nini

    Naanzaje kukupanda kichwani mtu kama wewe usiye muungwana ambaye umeshindwa kufundishika ovyooo kwendraaa utabakia hivyo hivyo na ufinyu wako wa akili
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tunaotuma maombi ya kazi tuzingatie tangazo la kazi linahitaji nini

    Nyambaf mwenyewe usinitusi tafadhali sijamdharau mtu wala kumuona mtu wa ovyo Maneno yako ya shombo peleka huko
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tunaotuma maombi ya kazi tuzingatie tangazo la kazi linahitaji nini

    Sijaona kigumu hapo cha watu kutokuelewa nimewapa ushauri wa kusoma tangazo zima ujue linataka nini ndipo utume maombi Kingine watu hawaonyeshi kutaka kujua zaidi ya kuleta maneno ya kebehi unatagemea nitawaeleza vipi wasichokielewa labda wewe angalau ukiniuliza nitakujibu
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tunaotuma maombi ya kazi tuzingatie tangazo la kazi linahitaji nini

    Mkuu hongera sana kwa uelewa uliojaliwa hii kitu ni kwa watu wachache sana humu duniani
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tunaotuma maombi ya kazi tuzingatie tangazo la kazi linahitaji nini

    Tayari nimeshatafunwa
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tunaotuma maombi ya kazi tuzingatie tangazo la kazi linahitaji nini

    Bahati nzuri tuna wahudumu ofisini ambao kazi zao ni kuandaa hizo chai
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tunaotuma maombi ya kazi tuzingatie tangazo la kazi linahitaji nini

    Sawa mkuu siwezi pingana na mawazo yako
  15. R

    JamiiForums Tanzania Tunaotuma maombi ya kazi tuzingatie tangazo la kazi linahitaji nini

    Mbona tangazo limekaa mwezi mzima na deadline tayari watu wanasort sasa
Back
Top Bottom