Recent content by Rose Of Africa

  1. R

    Wazoefu Wa Biashara Za Nywele Dar

    Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada. Mwenye/Wenye uzoefu wa biashara ya kununua na kuuza nywele, ni wapi naweza kupata, Hair Wigs kwa hapa Dar? Natanguliza shukurani zangu
  2. R

    Under value food crops ambazo zinaweza kuwa ni biashara kubwa sana

    Mkuu nahitaji mbegu za Rossela zinapatikana wapi
  3. R

    Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Mashamba yako maeneo gani, hekari bei gani
  4. R

    Minazi ni miti iliyo hatarini kupotea, dalili zinaonekana

    Tutawasiliana vipi mkuu kufahamu zaidi
  5. R

    Kama unataka paa lako liwe imara tumia mbao za mlingoti

    Nyumba za zamani dari lake lina miti minene Inaitwa miti ya Boriti ndio hii ya Mlingoti?
  6. R

    Kama unataka paa lako liwe imara tumia mbao za mlingoti

    Yaani hawa mafundi mwisho wao wataumia!!!...
  7. R

    Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

    Akijiachia tu! yeye na choo wote chini
  8. R

    Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

    Kizuri sana, vipi iina himili uzito wa mtu na akikaa ghafla!
  9. R

    Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

    Kinachoonyeshwa hapa ni Accessories za finishing na ndizo anazohitaji, plumbing na stages zote kashamaliza longtime....
  10. R

    Karibu tufahamishane kuhusu aina tofauti za bathtub, jiko, karo na vyoo

    Mkuu tuwekee namba hapa ili na wengine wahitaji wapate
  11. R

    Gharama Za ujenzi vyumba vya kupangisha, chumba kimoja

    Mkuu wazo zuri, tungeona ramani ingependeza
  12. R

    Nimepokea mzigo kutoka Ali Express kupitia Posta

    Je Inabidi ufungua Post box address yako binafsi
  13. R

    Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Vipi kuhusu Hair Wigs, Extensions, Hair Pieces & All about hair
Back
Top Bottom