Recent content by rose mzalendo

  1. R

    Makinda abadili gia angani, asema kuhesabiwa ni siku saba

    Maswali mengine bwana!! Kuna watu hata vyombo vya habari huwa hamsikilizi..Suala hili lishazungumziwa sana hadi mitandaoni humu...Kwamba utaacha taarifa zako ulipolala usiku wa kuamkia tarehe 23. Endapo watahitaji kufahamu zaidi utapigiwa simu Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  2. R

    Makinda abadili gia angani, asema kuhesabiwa ni siku saba

    Tatizo mnafuatilia mambo juu juu, hao wanahesabiwa kwenye dodoso la makundi maalumu...Wasiokuwa na makazi maalumu, waliolala stendi, masokoni,lodge, kwenye makambi, watoto wa mtaani. Ambapo kazi ilianza tangu saa 6 usiku kwajili ya makundi hayo Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  3. R

    Makinda abadili gia angani, asema kuhesabiwa ni siku saba

    Tatizo mnafuatilia mambo juu juu...Hao wanahesabiwa kwenye dodoso la makundi maalumu Yaani waliolala stendi, lodge, masokoni, watoto wa mitaani etc Kazi ilianza usiku ya kuhesabu makundi hayo Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  4. R

    Kwanini Rais amepoteza mvuto kabla ya kutimiza siku 100?

    Hotuba za mama ni tamu sana
  5. R

    Lissu: Tunaitaka Jumuia ya Kimataifa kuwawekea vikwazo vya kiuchumi Magufuli na genge lake

    Tabia za ubinafsi ni mbaya sana. Kukosa kwako urais unataka watanzania wote Wateseke
  6. R

    Amnesty International yaitaka Kenya kumpa hifadhi Godbless Lema kulingana na sheria ya wakimbizi, yasema kumrudisha nchini ni kinyume cha sheria

    Mnahamu ya kwenda nje, hanma nauli mnajifanya kutumia mbinu za kijinga Alianza Lisu, kaja lema na Nyarandu. Kuweni na akili
  7. R

    GE2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

    Watuache kabisa hao wa Marekani. Tunajiweza, na hatutaki marafiki wanyonyaji. Sasa hivi ni sama za Win win Situation Wabaki na vibaraka wao akina Tundu Lissu
  8. R

    Kwa mujibu wa Katiba ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na Maalim Seif siyo Wanachama tena

    Na Mwamba wa Kaskazini Jamaa mmoja aliwahi kuniambia sikia tu kitu inaitwa utawala bora au imba sana kuhusu hiyo kitu lakini ukiwa wewe ndio unatakiwa kutekeleza hapo kwa wengi vumbi kubwa hutimka. Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT, Zitto Kabwe na Mgombea wake huko Zanzibar Maalim Seif Sharrif...
  9. R

    Maigizo ya wamama wa Urambo kuhusu maji

    Haya Ni maigizo ya wamama wa Urambo wa Baraza la wanawake CHADEMA, hiki ndicho walichoamua kukifanya kwa kujitekenya wenyewe na kucheka wenyewe kwa kujiongopea wenyewe huku wakitaka kuwadanganya watanzania . Nimejaribu kuwaza hivi Kama kweli Urambo kuna tatizo la maji ujasiri wa hawa akinamama...
  10. R

    Maandalizi ya Ujio wa Tundu Lissu Jimbo la Meatu Mkoani Simiyu

    Mmewalipa pesa za siku ili wasifanye biashara zao wajirundike Kwenye mkutano
  11. R

    GE2020 Tundu Lissu amepewa adhabu na Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) ya kutofanya kampeni kwa siku 7 halafu anajirekodi malalamiko yake kwa kiingereza

    Yaani Tundu Lissu amepewa adhabu na Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC) ya kutofanya kampeni kwa siku 7 kutokana na kukiuka maadili ya uchaguzi halafu anakimbilia kujirekodi malalamiko yake kwa kiingereza ili awatumie waliomtuma kuja kugombea urais kwa sababu hawaelewi kiswahili. Ndio maana nauliza...
  12. R

    Tathmini: CCM imesimama kwenye hoja, wengine wanatoa vioja

    Na Mwamba wa Kaskazini Tunaweza kukubaliana kuwa kuna viashiria vya awamu ya kwanza ya ampeni za uchaguzi kwa ajili ya Urais wa Jamhuri ya Muungano imekamilika na vyama na wagombea vinajipanga kuendelea tena na awamu nyingine. Hii ni baada ya kuoneakana wazi kuwa wagombea wa Urais karibu wote...
  13. R

    GE2020 Hoja tano zilizopotoshwa na Mgombea Urais wa NCCR Mageuzi, Jeremia Kulwa Maganja katika hotuba yake

    Nimesikiliza kwa makini hotuba ya mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha NCCR-Mageuzi Bw. Jeremia Mganja akinadi sera zake kwa Wananchi. Hotuba yake inatoa taswira ya tabia za wagombea wa vyama vya upinzani kuwa wamezoea kupotosha jamii. Wamesahau kuwa Watanzania kwa sasa wana uelewa mkubwa wa...
  14. R

    GE2020 CHADEMA itachaguliwa na nani?

    Chadema wanataka kuchukua dola lakini mpaka sasa wameshagombana karibu na kila chombo wanachotaka kwenda kukiongoza. Polisi hawafai Mahakama Haifai Takukuru Haifai Usalama Haufai TBC Hawafai Clouds Hawafai Uhuru Hawafai Channel Ten Hawafai Tume Ya Uchaguzi Haifai Wakurugenzi Hawafai...
  15. R

    GE2020 Yaliyojiri katika Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) - Uwanja wa Jamhuri, Dodoma (Agosti 29, 2020)

    Gari nililopanda kila mtu anaangalia kwenye simu na dereva kafungulia radio ya gari
Back
Top Bottom