Recent content by Rose Moris K.

  1. Rose Moris K.

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jamani njoo TANDAHIMBA idara secondary nije Mbeya mjini, vijijini, Rungwe, au Njombe, Songea mjini , Iringa na Makambako. No 0687007905
  2. Rose Moris K.

    JamiiForums Tanzania Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

    majibu ya haya yote ni 25th October
  3. Rose Moris K.

    JamiiForums Tanzania Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Jamani nisaidien wilaya ya Tandahimba - Mtwara kwa anayejua kuko vip.
  4. Rose Moris K.

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

    majina yatatoka mwez march. 36000 na kdogo wataajiri
  5. Rose Moris K.

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu 2013/2014 zasitishwa.

    Ajira ztatoka mwaka huu,,hata kama ni kwakuchelewa..mayb kama ww ni mshauri mkuu wa serikali umewaambia wafanye hvyo..
  6. Rose Moris K.

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

    Mtoa mada yuko juu kama kuku, coz leo tar 27 alfajir 2mepata matumain na hv nimeshka gazet la UHURU ukurasa wa mbeleeee
  7. Rose Moris K.

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

    eheee... tutakula dagaa..,
  8. Rose Moris K.

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu lini nmechoka

    Tar 26 ndo hii leo,,haya ngoja 2subir ck haijaisha,,maybe still loading..
  9. Rose Moris K.

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya

    Mmeanzaaa...kama hakuna anayejua bac c lazima kupost...2achen jaman wenzenu, y ku2tia presha? tuna mioyo jamani dah!
  10. Rose Moris K.

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

    When the door of happiness closes,another opens..Halleluiya.
  11. Rose Moris K.

    JamiiForums Tanzania Hatimae mh. Jenista Mhagama anena kuhusu ajira za walimu wapya

    Shall trigger revolution coz these our brothers...
  12. Rose Moris K.

    JamiiForums Tanzania Hatimae mh. Jenista Mhagama anena kuhusu ajira za walimu wapya

    Da ningejua kale kahela ka research ningebania nifungue kibanda cha kuuza nyanya! kwa khali hi.!!! tutakula dagaa..
Back
Top Bottom