Recent content by Rose Mayemba

  1. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kitendawili cha Katiba ya Wananchi - Tanzania

    Tumepata elimu na tumepiga kura
  2. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa hajakurupuka kurudi CCM, namuunga mkono 100%

    siasa si haswaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa hajakurupuka kurudi CCM, namuunga mkono 100%

    you have nailed it boss Sent using Jamii Forums mobile app
  4. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa hajakurupuka kurudi CCM, namuunga mkono 100%

    Umri umeenda sana.pengine hajui heshima yake iko wapi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa hajakurupuka kurudi CCM, namuunga mkono 100%

    Analijua hili ndio Maana kaondoka Sent using Jamii Forums mobile app
  6. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa hajakurupuka kurudi CCM, namuunga mkono 100%

    Na Rose Mayemba Jana tare 1/3/2019 Waziri Mkuu wa zamani aliyejiuzuru kwasababu ya wizi wa mabilioni ya pesa kupitia shirika fake la kufua umeme(DOWANS ) Mhe Edward Lowassa alitangaza kuondoka CHADEMA na kurudi Chama cha mapinduzi ambako aliondoka mwaka 2015 baada ya kuhujumiwa kugombea nafasi...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba apata ajali ya gari akielekea Dodoma

    Ni kweli...Mungu alikuwa anamkumbusha sushi Kama mwanadamu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba apata ajali ya gari akielekea Dodoma

    you have nailed it boss Sent using Jamii Forums mobile app
  9. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba apata ajali ya gari akielekea Dodoma

    watu wanasahau haraka sana Sent using Jamii Forums mobile app
  10. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba apata ajali ya gari akielekea Dodoma

    Tuko hapa tayari...hakuna namna Sent using Jamii Forums mobile app
  11. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba apata ajali ya gari akielekea Dodoma

    Mimi roho yangu inaniuma sana ila tutamuombea hivyohivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba apata ajali ya gari akielekea Dodoma

    Hahahaaa...itakuwa kizito mno aisee Sent using Jamii Forums mobile app
  13. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba apata ajali ya gari akielekea Dodoma

    Tumejitahidi kusisitiza watu wakuombee wanakataa, wanataka kujua hali ya punda uliyemgonga. Wanasema eti hili limekukuta ili kukukumbusha wewe na wenzako kwamba kila mtu atakufa. wanasema eti wakati ukiwa Waziri wa mambo ya ndani Tundu Lissu alipigwa risasi na hukujali. wakati ukiwa Waziri wa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru Ally, Katibu Mkuu CCM ampa onyo kali Tundu Lissu

    Hivi baada ya kunywa maji ya kijani kuna mahali wanazihifadhi akili zao kwa muda? mbona wote hawana akili kabisa? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka nane auawa Njombe

    stupid kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom