Recent content by roodney

  1. roodney

    JamiiForums Tanzania Makubwa kama haya: Rais au Ikulu kutokujua ni mzaha mwingine katika kupigania Uwajibikaji

    Kuna kitu mm najiuliza sana swala la ikulu kusubiria amshaamshaa ya bunge ndo kuridhia uwajibikaji wa watumishi wake pia ni swala la ajabu sana!!! Kila kipindi bunge ndo linatoa amshaaamshaa ya haya mambo ni kwamba hii serikali na mkuu wanakuwaga wap au wanadanganywa? Vipi kuhusu kazi za taasisi...
  2. roodney

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa na vyama vya upinzani naenda CCM

    Mbona sioni kiini cha maneno yako naona unazunguka tuu kama wewe unalengo la kuiambia jamii kiti unasema umefanyiwa nn na nani na unahisi kwann kafanya hivyoo!
  3. roodney

    JamiiForums Tanzania Hizi ajali Tanzania nani anawajibika?

    Simple sana kila mtu kutimiza wajibu wake kuanzia police dereva mmiliki hadi abiria! Mungu ibariki tz Mungu bariki wananchi wake
  4. roodney

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

    CCM siyo chama cha karne ya 21 CHADEMA kinataka kujisahau sasa
  5. roodney

    JamiiForums Tanzania Chan 2014 tanzania kucheza na uganda mechi ya mtoano

    Watatufanya tena Kama Namboole, mungu wangu!
Back
Top Bottom