kama vitu hujui usibishane... huwezi pewa cheti cha ukocha ukapata leseni ya kufundishia kabla hujatimiza vigezo vya ualim. usifikiri izi kozi za makocha ni kama semina tu unaenda unapewa cheti.
usikariri kaka.. kiemba analeseni B ya CAF.
1. mpaka unapewa leseni B ni umefundisha chini ya uangalizi si chini ya miaka 4 mpaka 5. kiemba kafundisha tim tofauti tofauti za vijana na hata za kimashindano ni kwamba haujawahi mfuatilia. tatizo watanzania tunahisi mtu amekuja tu ghafla wakati...
udibishane na watu wasiojua mpira. mbona wao wamesoma na wana profesion zao ila hawajapambana kwenda kufanya kazi nje, kama ni rahisi mtoa mada nayeye akafanye kazi nje
mbona timu za vijana za taifa zinaongozwa na makocha wazawa na zinafika hadi kombe la dunia.. sijajua ukisema tactic za kisasa unamaanisha nini, kila tim inafanya ivyo kujiandaa na mpinzan tofauti inakuja kwenye quality ya wachezaji wetu, wanaweza kutimiza majukumu yao ya kifundi vile inatakiwa...
kutopewa simba na yanga haimaanishi hatuna makocha wazuri, mbona hata hao mnaosema wameendelea kwenye mpira bado tim zao hazina makocha wazawa kwenye timu kubwa.. mfano madrid, barcelona, man city, liverpool, PSG, man U, wote wanamakocha wakigeni
1. Unauhakika hakuna makocha wa Tanzania wanaofundisha mpira nje ya nchi?
2. kama kwa makocha wetu kuna shida, kwanini makocha wanatoka nje ya nchi kuja kusoma kozi za makocha za hapa kwetu?
3. watanzania huwa tunajichukulia poa sana, hadhi ya makocha wetu kwa sasa ni kubwa ila bado hatuupi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.