Recent content by rome drizy

  1. rome drizy

    Maneno yakumwambia anaehisi anakupenda

    ushauri mchungu ila kweli bro nitalifanyia kazi
  2. rome drizy

    Maneno yakumwambia anaehisi anakupenda

    hongera nimpeeee hongera akati mwanawake kanizingua
  3. rome drizy

    Maneno yakumwambia anaehisi anakupenda

    Wakuu yamenikuta pana binti mmoja jirani yangu kitaa ninachoka aisee tuseme tu nikama dada kanisaidia sana mpaka leo nimefika 21 shule ya msingi kanivusha sana balabala maana alinizidi madarasa 5 sasa kila wiki anaforce kunipa mzigo nikikgomea mara akasilike visa vingi . leo nimechezea kichapo...
  4. rome drizy

    Wanawake wanapenda ma handsome

    wote mnaompinga ndege mpo kwenye mahusiano kwa bahati mbaya nawaona wewe sura mbaya alafu unataka umpate dem sura nzuli akati Mungu kasema utampata wa kufanana nae vumilieni kisa mnapesa mnaoa vyombo mnajikuta kapuya hao wake mtaishia kuwafikisha uvinza sisi wazee wa kukomesha tunawapitisha...
  5. rome drizy

    Nisaidieni mawazo wakuu!

    " nina binamu yangu matokeo yake ya kidato cha nne co mazuli kabisa ningependa nimpeleke collage ndogondogo ili apate japo utaalamu wowote ili asije kua mzigo baadae je nimpeleke kozi gani ambayo ataweza kujiajili ata kwa mtaji wa kawaida "
  6. rome drizy

    MARAFIKI TU SIO WAPENZI

    asante kwa taarifa chief nitawacheck aliexpress ya alibaba
  7. rome drizy

    MARAFIKI TU SIO WAPENZI

    bro redmi ulinunua haphpa bongo au uliagiza maana czioni bro
  8. rome drizy

    Fastjet wazuiwa kuingiza ndege mpya. Wanyimwa vibali, watakiwa kuondoka

    kizuri chajiuza kibaya chajitembeza kama shirika zalendo ni bora liluusu ushindani kwani inaumiza watu tuchague bombadier au airbus simple tu
  9. rome drizy

    Nina mapenzi ya dhati lakini sipati mwanaume mwenye mapenzi ya dhati

    tatizo lenu mnatembea na wanaume kwenye vichwa vyenu oooh nataka mrefu mweupe slim flan iv alafu hatakama ukimpata unaanza vinginee ooh mbona kipato F vilaza nyie amna nuksi sema mnapenda sifaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  10. rome drizy

    Uvinza, Kigoma: Waziri Kangi Lugola ataka dhamana zitolewe hadi siku ya Jumapili

    hatimae saa mbovu imepatia majira kwaili najua sio kiki
  11. rome drizy

    TAKUKURU wasaidieni WanaCHADEMA na Watanzania kujua Uongo wa Mbowe

    uoni unatuletea uchochezi chief sisi wengine watanzania wazalendo izo # HAPA KAZI TU nakuama kwako chama chenu sisi kunatuhusu nini kua bro ndevu za bure tu " sio kila mzee anabusara kumbe pana wajinga mmezeeka"
  12. rome drizy

    Misungwi, Mwanza: Aenda jela miezi 6 kwa kosa la kumdhihaki Rais Magufuli

    haahaaaaaa kosa mimi sijaliona hapo inaonekana mshtakiwa hakumalizia sentensi labda kitu gani kwenye kuongea kibrazili kwani anajua kibrazili
Back
Top Bottom