Recent content by Romanmasu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Bandari watumia bilioni 9.6 kikao cha siku moja

    Ha ha haa,kweli kabisa mkuu. Watanzania ni watu wa kujisahau katika kipindi kifupi na uwoga unatuponza. Utasikia Mkuu wa Mjeshi redioni akituasa kuhusu amani lakini anaishi akiangalia ufisadi tu na ndugu zake tukiendelea kuwa masikini. Huwa nikisikia yale matangazo Radio One nazima redio kwanza...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Yusuf Makamba atangaza kumnadi January Makamba Urais 2015

    Makamba tunamjua kwa mbwembwe na uongo, mimi sishangai sana kwa hili kwani wanatazamia watatuletea tena ufalme wa kijinga. Ila hapo kwenye elimu naona anatudanganya maana habari zilizopo ni kuwa huyu bwana mdogo alipata ZERO secondary halafu mzee akakasirika sana na kumpeleka kwenye kambi ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kinshasa:Chimbuko la virusi vya HIV

    Hiki ndicho nilichofikiria niliposoma hii habari toka BBC wiki iliyopita. Huu ugonjwa umeanzia Marekani ila hawawezi kukubali hili janga wameleta wao. Kama nyani wana virusi ambavyo wanaweza kuvihimili, kwanini wasitafute dawa kutoka kwa nyani hao. Mimi sidhani kama kuna uhusiano wa virusi vya...
Back
Top Bottom