Recent content by Rollin riy

  1. R

    Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

    Swala la Gamond na Yanga ni suala la kisiasa zaid, vilabu vya simba na Yanga vina impact kubwa sana kwenye siasa za nchi yetu, ukijaribu kuangalia kwa wiki kadhaa zilizopita habari na hoja kubwa zilikua ni kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa.. Na Jinsi serikali na Ccm walivoboronga kwenye hilo...
  2. R

    Kama unatokea Kimbiji, kati ya Chamazi na Mwenge wapi ni mbali zaidi?

    Hapo hakuilenga team, mana basi la wachezaji likiwa linawapeleka kwenye match hutumia escort ya polisi.. Kufika ni faster.. Hapa mashabiki ndo walilengwa zaid, ki jeografia chamazi ni mbali, ila mwenge ni center, kwa mashabiki Uwanja wa Kmc upo karibu zaid kufikiwa na mashabiki tofauti na chamazi..
  3. R

    Uwezo wa Mwenyekiti wa chipukizi wa CCM Taifa kujieleza ni mkubwa kuwashinda vijana wengi wa CHADEMA

    Huyo mtt amekekaririshwa hakuna anachojua,siasa za ccm hazi saidii nchi yetu,sana sana ni kutengeneza majizi ya kupora rasilimali zetu,na majizi kuja kulindana.. Kwa kinachoitwa ccm chipukizi kwangu mm naona ni watu kutafutia watoto wao maisha.. Na kuja kulinda maslah ya familia zao,badala...
  4. R

    Je, umewahi kufikisha goli 5 na kuendelea?

    Mimi niliwahi kupiga bao zaid 14 ndani ya masaa 24 Ila mpaka leo sijawah kufika nusu yake.. Miaka saba iliyopita,huyu alikua demu wangu alikua anafanya kazi Arusha kuna kipindi miaka ya nyuma kulikuaga na Bagamoyo marathon, sijui kama zile mbio kama bado zipo.. Mimi nilikua naishi dar so...
  5. R

    Pitia hii picha japo kwa dakika 1, kisha uendelee kumwomba Mungu azidi kukupa uhai

    Hizi ni moja ya mbinu zinazotumika kutakatisha pesa...
  6. R

    Mrejesho juu ya mwanamke wangu alieenda ofisini na love bite

    Yaani mimi kabisa nikakae nianze kujisemesha kwa rafiki zangu au ndugu zangu eti mwanamke wangu amenisaliti,Niwaambie kina masawe huyu amenisaliti? Aisee kuna vitu vya kuwaambia ndugu lkn si usaliti yaani nikae na ndugu zangu tunajadili ujinga wa mtu? Ode lawe nke isembo indo ndi.. Nke wa...
  7. R

    Mrejesho juu ya mwanamke wangu alieenda ofisini na love bite

    Ndio mzee pande zote mbili tulikua tunatambuana.
  8. R

    Mrejesho juu ya mwanamke wangu alieenda ofisini na love bite

    Kama ww ni ke basi na wewe ni mshenzi naona unatetea upumbavu.. Hujiheshimu wala kujitambua.
  9. R

    Mrejesho juu ya mwanamke wangu alieenda ofisini na love bite

    Mimi siwezi kujiua sabab ya mwanamke ndugu tambua hilo.
  10. R

    Mrejesho juu ya mwanamke wangu alieenda ofisini na love bite

    Habar za humu .. Moja kwa moja bila kupoteza muda naomba kutoa mrejesho kuhusu mchumba wangu kuonekana na love bite shingoni.. Siku ile naandika hapa nilikua na hasira kali na isiyo elezeka niliazimia kurud dar ili nikamalizane nae kama nilivoandika pale. Ila baada ya kuleta bandiko langu hapa...
  11. R

    Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

    Kwa hiyo kuwa mwanaume ndo uweze kusamehe usaliti? Mwanaume wa kweli ni yule anaetoa adhabu kali ili iwe fundisho .. Yaani anisaliti nimuache tu bila kumpa kash kash yoyote? Baada ya hapo wakanicheke na huyo jamaa yake? No mi siwez subir uchapiwe mkeo na ujue ndo utaelewa nachopitia kwa sasa.
  12. R

    Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

    Huyo mwanamke mm ndie niliemtafutia hiyo kazi hapo maana nilikua nafanya kazi hapo kabla sijapata kazi serikalini..So staff wenzake wengi nawajaua sabab niliwah fanya kazi nao ..
  13. R

    Mwanamke wangu ameenda ofisini kwao na love bite shingoni. Nipo Dodoma kikazi, ijumaa narudi Dar kuonana naye

    Kwa taarifa yako mm si mwanaume dhaifu.. Mwanaume ni kichwa Mwanaume ni mfalme Mwanaume ni dume la simba Huezi kunitishia mm siogopi na huna cha kunifanya huezi toa ushauri pita kimya kimya Unaeza kunitishia kunipiga ww tusichukuliane poa kabisa humu.. mtoto wako tu nyumbani alivunja glass...
Back
Top Bottom