Recent content by Rolf

  1. R

    Natafuta mwanamke anayefaa kuwa mke

    Kwanini unasema maelezo yangu hapo juu sio kweli? Unaweza kwenda mbele kidogo kwa kuelezea ukweli ili niweze kujua uhalisia...na pia watu wajue huo ukweli. Karibu Madam tuyajenge kwa muktadha wa kuwa na familia bora na sio bora familia
  2. R

    Natafuta mwanamke anayefaa kuwa mke

    Wewe sio chapombe na wala sio mlevi, hivyo basi utakuwa supporter mzuri sana kwenye kusindikiza weekend na pia utakuwa na uwezo wa kutimiza majukumu yako kama mke. Karibu sana 👏🏼
  3. R

    Natafuta mwanamke anayefaa kuwa mke

    You sound like a woman who is God fearing! Congratulations. Naamini ukimpata mume anayempenda Yesu ( a husband who is mlokole) atakufaa sana. Mimi ambaye nimeshaonja utamu wa kilevi kinachovutia kwenye glass ni ngumu kidogo kuukwepa mtego huu wa shetani ( alcohol)
  4. R

    Natafuta mwanamke anayefaa kuwa mke

    Shibela acha mambo yako bana! Hivi wewe la saba "A" kweli?😃😃 By the way elimu katika mahusiano haina nafasi kubwa sana ila kuna mazingira inabidi tu kigezo ch elimu kiwepo. Mdio maana nimegusia hapo tu kwq kidato cha nne. Karibu sana mengine tuyajadili pm
  5. R

    Natafuta mwanamke anayefaa kuwa mke

    Mkuu kuwa na hofu ya Mungu haimaanishi kuwa usinywe! Ndio maana ukisoma biblia utaona hata Yesu alibariki mvinyo. Kikubwa ni kujua unakunywa kwa kiasi gani na kufuata kanuni zake. Sitaki nivae joho la kuwa mlokole wakati najua fika kuwa sometimes huwa nakunywa. Nipo very clear katika hilo
  6. R

    Natafuta mwanamke anayefaa kuwa mke

    Kwa scenario uliyoielezea it sound very clear kuwa chances ya huyo mwanamke kuwa na uhusiano wa kupasha kiporo ni ngumu sana unless huyo mwanamke awe na matatizo ya kutojielewa. Lakini ukisoma pale pia nimeelezea kuwa ukiachana na hilo tatizo la kupasha kiporo singo maza wengi ...they are very...
  7. R

    Natafuta mwanamke anayefaa kuwa mke

    Huwezi jua huenda Mungu ndio amekuongoza uwe wangu wa maisha ila hofu yako tu ya distance relationship. Ina maana ukiwa kanda ya ziwa huwezi olewa na mtu wa mkoa tofauti? Ikiwa nimekuoa kisha nakuambia my wife nimepata kazi ulaya tuhamie huko utakataa mke wangu?
  8. R

    Natafuta mwanamke anayefaa kuwa mke

    Depal acha mambo yako we mtu mwenyewe hata Reds / Savannah moja humalizi inakushinda! Jokes 😃😃 By the way mwanamke anayekunywa sio tatizo , akinywa kwa kiasi na akajua wajibu wake as a woman sio tatizo. Ndio maana hata mimi nimesema sometimes huwa nakunywa but not everyday ! I can stay 1 - 3...
  9. R

    Natafuta mwanamke anayefaa kuwa mke

    Shida inakuja kwenye kupasha viporo! At the beginning huwa wapole kama malaika na utasema mke ndio huyo yale aliyopitia ilikuwa bahati mbaya tu (mapito ya dunia) after a while - 2 to 3 years ndio utaijua rangi yake halisi, anarudisha majeshi kwa mzazi mwenzie kimya kimya kwa kigezo kuwa...
  10. R

    Natafuta mwanamke anayefaa kuwa mke

    Asante ukiwa na rafiki mwenye uhitaji kama wangu mfahamishe 👏🏼👏🏼
  11. R

    Natafuta mwanamke anayefaa kuwa mke

    Kichwa cha habari chahusika. Natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa kuwa na mwanaume kwa malengo ya ndoa na kujenga familia bora. Sifa za huyo mwanamke : 1. Awe mwenye hofu ya Mungu 2. Awe kabila lolote lile 3. Umri kuanzia miaka 22 - 35 4. Asiwe single maza 5. Elimu yake iwe kuanzia form iv 6...
  12. R

    Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Chenge ni fisadi. Unaiba 1.5 bilion ya serikali kwa mikataba ya hovyo wakati wa ununuzi wa Rada halafu unasema ni vijisenti? Leo hii akikaa bungeni so ataiba 1 Trilioni , ataitaje hii sasa? Chenge ametumika kipindi cha nyerere, mwinnyi, mkapa, na jk. Experience yake ni old school kwa sasa...
  13. R

    Fomu za Kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la JMT

    Wakuu habari zenu. Samahani naomba kufahamishwa utaratibu wa kuchukua form ya kugombea nafasi ya Spika iliyoachwa wazi na Job ndugai kupitia chama cha Mapinduzi - CCM upoje? Form zinaanza kutolewa lini , na je mtu yeyote anayejiona ana sifa na ni mwanachama wa CCM anaweza kugombea ...
  14. R

    Natafuta Mchumba 'Mwanamke ' - anayeishi Mbeya

    Kichwa cha habari chahusika. Natafuta mwanamke ambaye anahitaji kuwa na mwanaume for long term relationship ili kujenga familia pamoja. Sifa za mwanamke nimtakaye: 1. Awe anaishi mkoani Mbeya. 2. AWE TAYARI KUPIMA HIV 3. Awe na umri kuanzia 20 hadi 35. 4. Elimu yake kuanzia kidato cha nne na...
  15. R

    M/kiti wa chama - Mkoa anaweza kuwa Mtumishi wa Umma?

    Wakuu Heshima kwenu, na pia habari za weekend! Naomba kuuliza, kulingana na taratibu na sheria za nchi hii za Utumishi wa Umma; Je mtumishi wa Umma anaruhusiwa kugombea nafasi ndani ya Chama chake kwa ngazi MKOA ( Mwenyekiti wa Chama mkoa ) angali ni mtumishi wa Umma? Kama anaruhusiwa, je...
Back
Top Bottom