Recent content by Roisa group

  1. Roisa group

    JamiiForums Tanzania Wanawake hawanaga akili wenyewe wanapoteza watu wenye malengo nao kwa upumbafu wao

    Tujifunze kwa hiki kisa kwenye document hiyo
  2. Roisa group

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa binti huyu unasikitisha sana, tamaa na mikumbo itawamaliza mabinti wa chuo!

    Tusome hiyo documents ina mafunzo sana kuhusu life ya chuo
  3. Roisa group

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Je, unanikumbuka Mariamu?

    Mwandishi: ROISA. Namba ya simu: 0694840213. Riwaya: JE UNANIKUMBUKA MARIAMU? ( USIPOHUKUMIWA NITAKUHUKUMU MIMI). sehemu ya 1. Nilikuwa nimebana macho yangu, nikihisi ubaridi wa ajabu lakini uliambatana na mguso wa joto la blanketi zito la sufu. Harufu ya kwanza kuingia puani mwangu...
  4. Roisa group

    JamiiForums Tanzania Maiti inayotembea

    Riwaya. Mtunzi: Roisa. Number: 0694840213. Sehemu ya 2. Nikakumbuka wimbo wa lady jaydee na professor Jay ulitamba kipindi hicho unaitwa Bongo dar es Salaam. Ama kweli nilijionea ndani ya siku moja ilitosha kunipa picha kamili juu ya jiji hilo la wajanja. Asubuhi, nilipanda magari ya...
  5. Roisa group

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Maiti inayotembea

    RIWAYA: MAITI INAYOTEMBEA. MTUNZI: RONALD NAMBA YA SIMU: 0694840213. SEHEMU YA 1. Jina langu ni Masanja mabula, jina nililopewa na wazazi wangu wangu bwana na bibi mabula kwa kiligha jina langu lina maana ya " Akili zimo", huenda wazazi wangu walikuwa na nia njema ya kuniita hilo...
  6. Roisa group

    JamiiForums Tanzania Mwalimu atupwa jela miaka 30 kwa kumshawishi mwanafunzi amlawiti

    Du!! Balaa sana
Back
Top Bottom