Wanafunzi wengi hawajapata mikopo hasa wale waliosoma secondary private schools lkn high school wakasoma serikali sijui sababu ni kusoma private au!wengine private walisomeshwa na ndugu baki ambao walikuwa watumishi lkn kwa sasa ni wastaafu pia wengine walisomeshwa na mzazi ambaye kisha fariki...
Majeshi yote ni mali ya ccm hivyo haishangai.kama mtu alihofia kutekwa kwa hiyo angebaki ili atekwe na kuuawa?haya yote ipo siku yataisha na kila mmoja will pay the prize.
Inapelekwa kinondoni kwa kuwa wanajua haiwezi kusikiliza
Wanaipeleka huko ili waanze dana dana ya kuiahirisha.atasota huko mpaka dunia nyingine itakapokuja.
Mtusaidie sasa jana mjinga mmoja aliposti uzi wa kuwalenga wakristo tena wakatoliki kuwa ni mafisadi wakubwa naomba sasa arudi kwenye mada yake.hao maraisi iliyowataja kuwa hawakuwahusisha wanafamilia wao ni wakristo tena wakatoliki.jee wangekuwa waroho wa madaraka na wezi watoto wao si...
Wewe unatusumbua tu na makala zako ndefu ambazo hata haziingii akilini.wewe unamwona nani mwenye uchungu na hii nchi.wakubwa wameishaigawana hii nchi vipande vipande pamoja na familia zao.wewe unatutia uchungu ni bora maada za namna hiyo mjisomee wenyewe kuliko kutuletea sisi.huoni mtu akigusa...
Ukiona vile ujue kuwa jamaa alipata changamoto kubwa.si ajabu hiyo changamoto bado haijatatuliwa ila anashindwa kukueleza ukweli.kama ungemjua mtu wa karibu naye huenda ungejua nini kinamsibu.kimsingi wewe vumilia tu iko siku akikaa sawa atakurejeshea.Ila umfuatilie ujue nini kimemkuta.
Haya uliyoandika umeyafanyia utafiti au ni utashi wako.una uhakika wezi,watekaji,mafisadi ni wakatoliki?mbona hakuna tajiri mkatoliki au unaugonvi na ukatoliki!kuna askofu mkatoliki ni tajiri? Una uhakika ndoa zinazovurugika hapa nchini ni wakatoliki.weka takwimu basi au majina ya wakatoliki...
Shida ya vijana mmegawanyika.machawa ni wengi pia mmekosa umoja.mmeshindwa kama vijana kuungana kuishinikiza serikali kuweka sera nzuri kwa vijana.mmekuwa waoga hamjiamini.serikali inawagawanya ili iwatawale kiurahisi.iwajibisheni kama hamuwezi mtaendelea kulia lia kama fisi.
Tii sheria bila shurti.bodaboda ni wahovyo sana kila kwenye mabaya wamo.kunyang'anya pochi za wanawake,kubeba wake za watu kuwapeleka kwenye michezo uko,nk
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.