Recent content by rogers_issaya

  1. rogers_issaya

    Wauzaji wa vifaa vya simu kwa bei ya jumla Kariakoo

    Bado boss, tuwasiliane hapa tafadhali 0743098141
  2. rogers_issaya

    Ushauri, maoni na mbinu za biashara ya ufundi simu na Computer

    Wakuu ni wapi naweza pata vifaa vya marekebisho ya simu kama oca laminating mashine, microscope kwa Kariakoo.
  3. rogers_issaya

    Infinix hot 4 x557

    Yes, ila wire inatoka wa iwe ndogo sana
  4. rogers_issaya

    Infinix hot 4 x557

    Ni kweli kama hii njia ilikua ime ng'ooka kwahi lazma ut ngeneze njia tena
  5. rogers_issaya

    Infinix hot 4 x557

    Yes, ni sawa na kubadilisha hdd ya computer.
  6. rogers_issaya

    Nimepoteza simu leo asubuhi Tecno Camon 11

    Bro kama ni simu zakichina achana nazo kwa sababu ikipotea au kuibiwa zina badilishwa IMEI number chap
  7. rogers_issaya

    Infinix hot 4 x557

    Mara nyingingi hizo simu zainashida ya emmc (flash ic ) na sio processor kama anavyo sema. Hizo simu wameweka emmc card za bei nafuu (aina yake ni kingstone) ambazo hazidumu. Cha kufanya sio kupiga moto ila ni kubadilisha storage chip. Kama upo arusha unaweza nitafuta kupitia 0743098141 kwa...
  8. rogers_issaya

    Wauzaji wa vifaa vya simu kwa bei ya jumla Kariakoo

    Na pia ni mtaji wa kiasi gani naeza kuanza nao.
  9. rogers_issaya

    Wauzaji wa vifaa vya simu kwa bei ya jumla Kariakoo

    Habari zenu wakuu, nimewaza ni wapi nitapata maduka ya vifaa vya simu na accessories mbali mbali kwa bei ya jumla Kariakoo ili niuze mikoani.
  10. rogers_issaya

    Ubora wa Doogee na Ulephone

    Ulefone sijawahi iona ila nina iamini dogee zaidi
  11. rogers_issaya

    Ubora wa Doogee na Ulephone

    Hio dogee ni nzuri kwa sababau hata resolution ya kioo ni nzuri pamona na cpu yake mtk 6763 ambayo sijaona kwenye tecno wakitumia.
  12. rogers_issaya

    Kuhusu biashara ya vifaa vya simu

    Habari wakuu? Vipi uxi bado una endelea?
  13. rogers_issaya

    Uzi maalumu: Wanaotumia Kikuu na Jumia kufanya manunuzi mtandaoni

    Habari, ndio walicho andika ni sawa na ni waaminifu na wana mawakala mikoani kwahio ukiagiza mzigo watakupigia ukiwa umefika. Shida yao kybwa ni lwba shipping yao ni ya muda mrefu sana. Kuhusu mzigo kufika hakuna cha kulipia ni kuchukua tu.
  14. rogers_issaya

    MTK ENGINEERING MODE NI NINI??

    Yap kwa hio simu hadi ninge kua nayo mkononi
Back
Top Bottom