Recent content by Rodrick Mushi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Best Business Idea

    Hata kama una idea huwezi kuwa umekamilika kwa unachowaza kwa asilimia 100 ungeweka hapa pia ungepata ushauri au idea uliyonayo kuna mwengin anaifanyia kazi angekusaidia kuiboresha n hayo tu
  2. R

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ufunguzi wa Mkutano wa CCM Moshi Mjiji

    Kuanzia majira ya saa 12:01 chopa imeanza kudondosha vipeperusha vya mgombea wa Devis Mosha na kuuzunguka maeneo mbalimbali ya mji tunajiuliza je katika kipindi hiki cha kampeni ile sheria ya kuchafua mji kwa kudondosha chochote hata ka vocha au karatasi au kutema mate Manispaa imeiweka pembeni...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ufunguzi wa Mkutano wa CCM Moshi Mjiji

    [ ATTACH]283864[/ATTACH]Haya ndo Maandalizi ya ufumbuzi wa kampeni za mgombea Ubunge Moshi Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Bilionea Devis Mosha katika uwanja wa mashujaa atakuwepo Katibu Mkuu ndugu Kinana,wasanii kibao ikiwemo bendi ya twanga pepeta.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Siamini kama nimepona vidonda vya tumbo....

    Naamini kwamba taarifa hii itakuwa ni sahihi na itatusaidia wengi..kwa upande wangu nina ndugu yangu ambaye amesumbuliwa kwa muda na vidonda vya tumbo hivyo ntaomba uni PM nipate contact zako kama hutojali ili niweza kuwasiliana na mhusika kupata dawa hiyo..mimi naamini sana katika dawa za asili...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Maswali kuntu kwa waandishi wa habari vibaraka wa CCM

    Tatizo ni uzalendo, kwani tatizo la maadili kazini halipo tu kwa wana habari ni karibia sekta zote..kikubwa ni kuwa kujitathimini tumetoka wapi na wapi tunakoelekea..tunayofanya mengi ni kwa ajili ya nafsi zetu pekee au tunalisaidia taifa hilo tu.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Organo Gold

    hata mim nipo kwenye mchakato wa kujiunga kwenye net-working yao kuwa distributer ila cna udhoefu sana naomba wakongwe au wameshajiunga watuambie zaidi..
  7. R

    JamiiForums Tanzania Idris Sultani ndiye mshiriki wa BBA kutoka Tanzania

    Unataka babu na bibi zako waliopo kijijini waone wajukuu zao wanavyoga na vyupi pamoja na wanavyofanya mapenzi? Je inawasaidia kwa mfano????
  8. R

    JamiiForums Tanzania Starlet Inauzwa

    Sawa weka picha nione kaka
  9. R

    JamiiForums Tanzania Starlet Inauzwa

    Weka picha mkuu ila.upo juu sana
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwa uandishi huu Magazeti yenu yataendelea kudharaulika tu!!

    Kumbe n magazeto pendwa pole
  11. R

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi CHADEMA Kilimanjaro

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoani Kilimanjaro leo kinafanya uchaguzi wake kuwachagua viongozi ngazi ya mkoa akiwemo mwenyekiti wa chama Mkoa ambayo inatetewa na mbunge wa Moshi mjini Philemoni aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo. Uchaguzi unasimamiwa na mbunge wa Karatu...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Angalia hizi picha halafu kanusha kama hamna wanaume wazuri

    Mbona cjaona handsome hapo bora ungeweka za Wabongo tuko vizur sana bila hata mak up au scrub
  13. R

    JamiiForums Tanzania Aponea chupuchupu kuporwa na majambazi, akimbilia uwanja wa ndege kujinusuru

    Yatupasa kutafakat kwa hili hoja yako ina mashiko
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini mji wa Moshi (Kilimanjaro) haubadiliki miaka nenda rudi?

    Mkuu licha ya kwamba viwanda havifanyi kazi lakin kinachoendelea sasa hiv ni transition ya economy kutoka kwenye industry kwenda kwenye services na ndio maana utaona Usishangae Moshi kikawa kitovu cha elimu na uchum wake ukaendelea vizur tu
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini mji wa Moshi (Kilimanjaro) haubadiliki miaka nenda rudi?

    Mkuu nadhan unayoizungunzia hapa siyo Moshi,kwani n nin kipimo cha kukuwa kwa eneo Moshi inakuwa na mtu ambaye alikuwa miaka kumi nyuma na sasa hivi ni tofauti kuanzia kwenye majengo,hotel pamoja na taasisi mbal nbal kama za elimu ambapo kwa sasa kuna zaidi ya vyuo vikuu vishirik zaidi ya 6...
Back
Top Bottom