Recent content by rodgers123

  1. R

    JamiiForums Tanzania Heche Ni Muongo. Mafuta Yamepanda Dunia Nzima. Hayajapandishwa na Serikali wala wafanyabiashara

    Hujitambu wewe. Heche anasema na anaomba Serikali ipunguze kodi au tozo zilizoko kwenye mafuta. Kwani bei ya mafuta imejaa tozo au kodi nyingi ambayo kwa serikali inayojali maisha ya watu wake kwa kipindi kama hichi Serikali inachukua maumivu na kupunguza gharama na matumizi sehemu zingine n...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaomba msaada China kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya AFCON 2027

    Unaweza kuta Afcon walishatoa mtonyoo. Sema wataaalamu wamekula chao au wamehamisha kwa matumizi mengine wakitegemea kujazilizia pesa za mikopo ya Wazungu. Sasa wazungu wamedinda , hakuna jinsi inabidi tupeleke bakuli Chinaaaa.. Balaaa.. Hakuna Maonooooooooooooooooooooooooooooo ndio...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mkuu wa Kijeshi wa Sudan ahukumiwa miaka 20 Jela na ICC

    unaongea hivi. Huyuji shida zetu bodaboda sisi.!!
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mkuu wa Kijeshi wa Sudan ahukumiwa miaka 20 Jela na ICC

    Ndugu zangu ICC inaendelea kuwawajibisha wale wote wanaoshiriki mauaji, unyanyasaji na adha zingine za ukiukaji wa haki za binadamu. ------------------------------------------------- Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imemhukumu Ali Muhammad Ali Abd-Al-Rahman (Ali Kushayb) kifungo cha...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuua watanzania Oktoba 29 ni njia waliyotumia wachina kuzuia maandamano ya Tiananmen

    Naona ni same strategy na ndio itajenga woga wa GenZ. Hiyo ndio njia yao na polisi ndio siku zote wana run the game.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuua watanzania Oktoba 29 ni njia waliyotumia wachina kuzuia maandamano ya Tiananmen

    Shida mfumo kaka.! Na ndio silaha yaoo!!!
  7. R

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuua watanzania Oktoba 29 ni njia waliyotumia wachina kuzuia maandamano ya Tiananmen

    Maendeleo sahau bro labda ya kina Elvis na mziwanda wa kiume..!
  8. R

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuua watanzania Oktoba 29 ni njia waliyotumia wachina kuzuia maandamano ya Tiananmen

    Na ndio itakavyokuwa kwa serikali ya Tz. Na ndio maana huwa wanaenda kujifunza Uchina siasa kaka.!
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kiko wapi!

    Kwa hiyo wewe umefurahia ufisadi unaoendelea na kina Elvis sio..? Si mchezo Mwafrika akipata mrija wa maziwa hata ndugu anaua..!
  10. R

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuua watanzania Oktoba 29 ni njia waliyotumia wachina kuzuia maandamano ya Tiananmen

    Wakuu . Njia iliyotumika ya kuua watanzania October 29 ni njia waliyotumwa na serikali ya China kupambana na maandamano ya Tiananmen. Katika maandamano hayo takriban watu karibu 10,000 wanasadikika walikuwa lakini serikali ilisema around 200. ------------------------------------------------ The...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa vyama vingi Tanzania na Afrika ni mfumo kwa kuwaibia Mabeberu

    Je vipi kwa wa Tanzania..? Inawanufaisha ..?
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa vyama vingi Tanzania na Afrika ni mfumo kwa kuwaibia Mabeberu

    Wandugu Nimewaza na kuona kuwa mfumo wa vyama vingi afrika hasa Tanzania ni mfumo unaotumika kuwaibia wazungu pesa. Janja ya kupata pesa za bure za misaada nk. Kwa nini nasema hivi nchi nyingi mfano Tanzania ki uwazi hakuna Uchaguzi huru. Watu wanafanya kiiini macho kuwaaminisha wazungu kuna...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ni bora kabisa vyama vingi vikazuiwa mara moja marufuku kwani ndiyo zao la vurugu na uvunjifu wa amani

    Kaka naona unashangilia kwa sababu unakunywa maziwa sio..! Una ka mrija ndio maana unaongea hivyo na kufurahia wakati bodaboda tunapigwa na jua kila kukichaa. Acha dharau kaka..!! Huna ufaamu kaa kimya
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa saa 4 asubuhi Serikali 3 : Wafuasi wa Mange 0. Hii ndiyo Tanzania isiyoyumbishwa na mtu yeyote

    Kaka naona unashangilia kwa sababu unakunywa maziwa sio..! Una ka mrija ndio maana unaongea hivyo na kufurahia wakati bodaboda tunapigwa na jua kila kukichaa. Acha dharau kaka..!!
Back
Top Bottom