Recent content by ROCKWELL

  1. R

    JamiiForums Tanzania Ni dakika 5 za Lowassa

    Kwa akili yako we unaona Magufuli anaeleza sera za chama chake au anaropoka tu. Aliaidi kabla ajateuliwa kuwa ilani ya chama ndo mwongozo wake ila nadhani hajapatiwa ilani maana chochote kinachomjia kichwani anaropoka tu. LOWASA ULIPO TUPO
  2. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa ashindwa kujibu madai yake ya kwenda Vita vya Kagera

    Makamba kwa Lowasa ni boya tu, amwezi hata kidogo si saizi yake. Saizi yake ni Marehemu Matonya
  3. R

    JamiiForums Tanzania Lowassa ashindwa kujibu madai yake ya kwenda Vita vya Kagera

    Lowasa anawanyima raha kweli. Watu wanawaza mabadiliko siyo majibizano yasiyo na msingi. ALIPO TUPO
  4. R

    JamiiForums Tanzania Sitta amjibu Sumaye kuhusu mabehewa mabovu

    Pole SITTA, Naona bado una ndoto ya kuwa raisi, kamwe hauta upata,kafanye mdahalo na mgombea ubunge jimboni kwako. LOWASSA Si saizi yako
  5. R

    JamiiForums Tanzania Sitta Ataka Mdahalo na Lowassa Kuhusu RICHMOND; Asisitiza Kuwa Lowassa ni Fisadi!

    Haitatokea mgombea ubunge akafanya mdahalo na mgombea uraisi? Ni wapi na ni nchi gn huwa inafanyika? SITTA aombe mdahalo na mgombea ubunge wa jimboni kwake. Huo ni ushauri wa bure kwake
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kingunge kuhamia UKAWA rasmi muda wowote kuanzia sasa

    Mungu yupo Fair siku zote,huwa hana upendeleo. Ajue siku ya kufa kwa mwanadamu ni yeye tu,maana hata yatakayo tokea juu ya maisha yako ndani ya dk 5 zijazo ni yeye. Changia mada usizungumzie uhai wa mtu maana aujui umebakiza dk ngapi hapo ulipo
  7. R

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Mzee Mwinyi kuhusu CCM A na CCM B

    C huyu ndiye aliyewai kuchapwa kofi kwa kutokuwa na akiba ya maneno msikitini?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mark Mwandosia afunguka, soma busara 100%

    Jamaa aliwai kutenguliwa mguu na mkewe, duh noma kweli
Back
Top Bottom