Recent content by ROBINSON NAZARETH

 1. R

  Kuna kitu ambacho huwa ninajiuliza kila mara, hivi mimi sura yangu ni ipi?

  🔏Kuna kitu ambacho huwa ninajiuliza kila mara, hivi mimi sura yangu ni ipi? Huwezi ukakubali kwa haraka hadi utakapojifanyia uchunguzi ndipo utakapogundua hauna sura moja. Unapokuwa unaongea na mpenzi wako unakuwa na sura gani? Unapokuwa unaongea na wazazi wako unakuwa na sura gani? Unapokuwa...
 2. R

  Urafiki kati ya Jinsia Tofauti

  🔏 Urafiki unawezekana bila ngono? Naomba kuyaweka mezani Maswali Haya: Je, rafiki ni nani? Ili mtu awe rafiki yako mambo gani ni ya msingi kutimia? Je, rafiki wa jinsia iliyop tofauti na yako ana tofauti gani na rafiki wa jinsia yako? Je, kuna uwezekano wowote wa kuwa na urafiki na mtu wa...
 3. R

  Nafasi ya Mwanaume na udhaifu wake kwa Mwanamke

  🖊️ Huu si udhaifu wa kiume? WANAUME wengi wanapenda kuoa wanawake wanaowazidi sana umri. Ni nadra kukutana na mwanaume aliyezidiwa umri na mke wake. Kama hiyo haitoshi, wanaume wengi wanapenda kuoa wanawake wenye elimu ndogo zaidi yao. Ushahidi ni wewe unayesoma hapa. Ha ha haaha! Vilevile...
 4. R

  Muda wako ni mafanikio yako

  Binadamu wote ni sawa kwa maana nyingi. Usawa mmoja wapo ni kiasi cha muda ambacho kila mmoja wetu anacho. Kila binadamu anayo masaa ishirini na mane kwa siku. Masaa yaliyotimia yenye dakika sitini. Kinacholeta tofauti, ni namna tunavyoyatumia masaa haya kwa faida. Kile tunachofanya katika...
 5. R

  Story of Change Ukosefu wa ajira nchini na suluhisho lake

  Swali kuu litakalotuongoza ni, unapokosa ajira maana yake ni nini? Tunaangazia jitihada kadhaa wanazoweza kuzitafanya Vijana kutatua tatizo ya kazi badala ya kusubiri ‘mfumo’ uwatafutie majibu. Nafasi za ajira hazitoshi Tuanze na dhana ya soko la ajira. Soko ni utaratibu wa kuuza na kununua...
Top Bottom