Recent content by robert deusi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hili sio siri Prof. Maghembe ameonewa sana aombwe radhi

    hapana nyalandu ni ziro
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hili sio siri Prof. Maghembe ameonewa sana aombwe radhi

    sio mbaya sana kama lazaro muuza sura
  3. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    huu sasa uchawi wa live kabisaaa
  4. R

    JamiiForums Tanzania Siri nzito CHADEMA: Katibu mkuu wake kutoka kanda ya ziwa

    we ------ tu sawa na drslaa wako
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kamati kuu ya CCM haifai, ilishindwa kumsimamia JK, imwache Magufuli afanye kazi yake, aibu yenu

    ccm na ufisasi ni ngumu kuutenganisha na vyanzo vya mirija ya ufisadi viko ndani ya ccm
  6. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kwanini msiende Mahakamani kupinga zuio hili linalopingana na Katiba ya nchi?

    ushindi wa magumashi ndio tatizo kwa mtindo huu na laana za wa africa kung'ang'ania madaraka sioni demokrasia africa
  7. R

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe anatumia muda mwingi kuijenga CCM kuliko hata kukijenga chama chake

    act ishakufa sasa afanyeje? mrema.cheyo.zitto ngoma droo
  8. R

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ajira na Waziri wa Viwanda, majipu mengine haya huku kampuni ya Sukari ya Kilombero

    kwa upuuzi wenu mmewapa kila kitu mnategemea nini?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wangu Mbowe kwa hili hapana

    kwa segerea tuwe wakweli yule dada ndie alievuruga chama kwa kuongwa nadia na bonna. tuache unafiki tuwe wakweli
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe kukamatwa kwa ufisadi

    hapa naunga mkono hoja ya mkapa kwamba watanzania ni wavivu wa kufikiri. huyu mtu ni mfanyabiashara sasa kafisadi nini hapo wakati anahamisha ela zake na pia ni 2billion. lakini kuna watu wameamisha matilion na ni watumishi wa uma lakini watz wamekaa kimya ama kweli tz ni nchi ya kipuuz kweli
  11. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Edward Hoseah

    mi naona kama bongo fleva tu hapo unamtoa boss unamweka naibu sasa ndio nini? na pia huyo hosea mtakumbuka aliwai kusema kwamba ikulu inamwingilia kazi zake
  12. R

    JamiiForums Tanzania Neno la kejeli: Mliomtaka Lowassa mmesahau mlitaka kurudisha nini kwa taifa?

    acha umbea na unafiki thibitisha uhusika wa lowassa kwenye richmond na kama uwezi muulize mwakyembe alificha nini ili kuokoa serikali?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Unyama Zanzibar: Kituo cha Redio Chachomwa Moto

    bado zbc na tbccm.starccm
  14. R

    JamiiForums Tanzania Anachofanya Rais Magufuli sasa ni uchonganishi kati ya wananchi na Kikwete

    tena hata twiga walienda ulaya ila huyu wa sasa anajifanya mgumu
  15. R

    JamiiForums Tanzania G.Mgimwa bado anastahili kuaminiwa ndani ya BJMT

    raha ya ccm ni madili tu akuna cha nani wala nani ni dili kwenda mbele
Back
Top Bottom