CCM wanajua wanchokifanya, kukata jina la Lowasa huku wakijua ana wafuasi wengi si uamuzi wa kukurupuka, na huu mchezo wa siasa ni mbaya sana, CCM knows Lowasa inn and out, and Lowasa knows CCM as well, Nina imani kati yao kuna mmoja kakurupuka na maamuzi yake, hakujipanga!, So ukimya wa CCM si...