Recent content by robbin

  1. R

    Hongera kambi ya Jeshi Makutopora-Dodoma

    Napenda kutoa pongeze za dhati kabisa kwa niaba ya Watanzania wenzangu wapenda unadhifu kwa kambi ya jeshi ya makutopora-Dodoma kwa jinsi mnavyoipendesha barabara kuu ya Dodoma Arusha kipande cha eneo lile la jeshi. Kwakweli mazingira kama yale katika barabara kuu tumezoea kuyaona Majuu tu...
  2. R

    Hongera sana kambi ya Jeshi ya Makutopora-Dodoma

    Napenda kutoa pongeze za dhati kabisa kwaniaba ya watanzania wenzangu wapenda unadhifu kwa kambi ya jeshi ya makutopora-Dodoma kwa jinsi mnavyoipendesha barabara kuu ya Dodoma Arusha kipande cha eneo lile la jeshi, kwakweli mazingira kama yale katika barabara kuu tumezoea kuyaona Majuu tu...
  3. R

    DOKEZO Mkurugenzi Manispaa ya ubungo

    Tafuta vijana wafanye usafi daraja la watembea kwa miguu pale kituo cha mwendokasi ubungo hali ni tete
  4. R

    Serikali washaurini contractors wanaojenga Msalato international airpot Wajenge vyoo

    Serikali wahimizeni contractor wanaojenga airpot ya msalato wajenge vyoo, ni aibu wafanyazi zaidi ya 100 wanajisaidia porini
  5. R

    Gari yangu inajizima nini tatizo?

    It seems unaendeshea kwenye manual mode ,..ilishawahi nitokea hilo tatizo niliset katika manual mode harafu nikawa sibadilishi gear, sasa gari ikifika rev limit inajibadilisha yenyewe gear hadi gear ya mwisho na ukiwa kwenye mlima kama itakuwa imefika gear ya mwisho inajizima mpaka uwashe tena.
Back
Top Bottom