Mimi namiliki subaru forester ya 2004 ni gari zuri sana na huwa napenda kusafiri nalo na wenye v8 hata siku moja hawajawahi kukaa mbele yangu na kwenye muinuko kwa subaru ni kama iko kwenye tambarare tu halafu kizuri ni all weather road iwe matope, mchanga yenyewe inapasua tu kwa kifupi ni gari...
Kaka kuilinganisha subaru na harrier ni kuikosea heshima subaru,, subaru ni subaru tu hebu tutake radhi sisi wazee wa subaru lakini ni kwasababu umesema umeendesha subaru kidogo tu ulivyokuwa mwanza kwa hiyo bado hujaijua vizuri. Gari ina speed sana ile halafu iko stable, kingine haichagui...
Hata biashara ya mitumba inawezekana kwa kiwango hicho cha pesa halafu pia kama ulivyoshauriwa awali kuwa biashara ya matunda na juisi pia itafaa sana na inalipa lakini pia kwa biashara kama ya samaki ilikuwa poa kama ungekuwa na friji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.