Recent content by robart jacob

  1. robart jacob

    Rais bora hawezi kutoka nje ya CCM

    Pia nyerere alisema mabadiliko yasipopatikana ndani ya ccm wananchi watayatafuta nje ya ccm... Na issue si lowasa issue ni ccm...wananchi walio wengi wameuchoka mfumo dume wa ccm... So wanataka mabadiliko kupitia chama ambacho wanaamini hakina mfumo dume... Philosophy inasema we differ in...
  2. robart jacob

    Rais bora hawezi kutoka nje ya CCM

    Yaah ni kweli ni chama dume chenye mfumo dume...je unajua madhara ya mfumo dume? Nafikiri tuna akili zenye mawazo mgando na ushabiki...
  3. robart jacob

    Baada ya mahojiano: Makosa yaliyomnyima Lema dhamana ni haya, kwa mujibu wa Mwanasheria wake

    lema dnt give up...we ni zaidi ya askari..pambana....me nahisi lengo ni kudhoofisha chama cha demokrasia ...
  4. robart jacob

    Baada ya mahojiano: Makosa yaliyomnyima Lema dhamana ni haya, kwa mujibu wa Mwanasheria wake

    hakuna uchochezi hapo...ni ufedhuli wa mulugo na kupanic kwake..baada ya wanafunzi kuona kama anawazingua...
  5. robart jacob

    sioni umuhimu wa kuwa na sheria

    je hii nchi kila mtu ana mamlaka ya kumfunga mtu..eti kwa sababu yeye ni mtu fulani..akikosolewa kidogo kutokana na pumba zake..anakutisha..ooh ntakutia ndani...hakuko na umuhimu wa kuwa na sheria...
  6. robart jacob

    Lissu, Msigwa, Wenje, Kiwia wafungiwa kuhudhuria Vikao vya Bunge!

    ndugai ni naibu spika anayepaniki sana si mara ya kwanza kuonyesha dhahiri aelewi anachokifanya...kwa hyo yule anaepambana kwa ajili ya maslahi ya nchi atoke nje, ila anae tukana aendelee kukaa ndani...nashndwa kuelewa hapo...ili bunge la wavuta bhangi..?.pimeni akili zao hao watukanaji...na sio...
  7. robart jacob

    je sheria ya nidhamu bungeni itazingatIwa lini na wabunge?

    katika bunge linaloendelea hvi sasa,tumeendelea kushuhudia uvunjaji wa kanuni na taratibu za bunge, bunge limekuwa kama kilabu cha pombe,chochote atakachojisikia kuropoka anaropoka...inafikia hatua watu/waheshimiwa wanaitana mbwa, nini kifanyike ili kanuni, sheria na taratibu za bunge...
  8. robart jacob

    Naomba msaada wa sheria ya ndoa

    me nafikiri hakuko na hyo haja..sababu huyo mtoto bado ni mdogo sana..na bado anahitaji malezi ya wazazi wote wawili..nikiwa na maana ya baba na mama...msiwe na fikra za kibinafsi...unganisheni fikra zenu na kurekebisha tofauti zenu kwa manufaa ya mtoto...
  9. robart jacob

    Swali; kitendo cha itv kurusha picha za watu walionasa kwenye gari ni halali kisheria?

    je swali limejibiwa?...je sahihi kisheria?..na kama si sahihi kuonyeshwa hzo picha kisheria nini kifanywe ili jambo kama hilo lisijirudie?...
  10. robart jacob

    Wanawake wanaotoka Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Njombe & Iringa regions)

    inaezekana ikawa hvo...lakini sina uhakika kwa hlo..
  11. robart jacob

    Mulugo awataka wanafunzi kutotembelea JF

    mi nafikiri hapo muheshimiwa mulugo, umekurupuka, usitumie ghadhabu, tumia hekima,,je unafikiri ni kazi rahisi kuwapata hao wanafunzi katika hyo mitandao...kwa hilo nasema umekurupuka,..jipange
Back
Top Bottom