Recent content by Roamer

  1. R

    Ufisadi Iramba Kiomboi, mamilioni yatumika kunyamazisha Madiwani

    Hoja ya kupigwa? mama huyu siyo kawaida, amemzaba kibao Mtunza Hazina wa Wilaya akiwa katika harakati za kusaini mahudhurio, kisa amemsimamisha kazi bila kufuata taratibu, hakuna kamati iliyoundwa, hakuna kikao cha madiwani kuridhia, amekaa nyumbani kwake na kulima barua ya kumsimamisha mtunza...
  2. R

    Ufisadi Iramba Kiomboi, mamilioni yatumika kunyamazisha Madiwani

    Kwa kweli sasa hali imekuwa si shwari katika Nyanja zote za kiuchumi, kijamii na kisiasa katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba. Shughuli zimesimama baada ya madiwani kumkataa Mkurugenzi na baadhi ya wakuu wa idara. Mkuu wa mkoa Ndugu Kone amefika lakini ameshindwa kutoa maamuzi na maelekezo...
  3. R

    Story behind your date of birth

    really interesting! true to some extent.
  4. R

    Story behind your date of birth

    For sure this is absolutely true on my side as i fall in no. 5 and everything quite true.
Back
Top Bottom