Recent content by Rnziku

  1. R

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi Vs. Waziri Mkuu, nani mwenye mamlaka/mkubwa kwa mwenzie?

    tamisemi??? Jamani haaaa si umejibiwa mbona???
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hao viongozi wa TAKUKURU, ile ilikuwa dharau kwa mamlaka ya Rais

    KUPEWA URAIS KWA SPEED HII NA ARI HII HAIWEZEKANI KUWA NI MPANGO WA HAO WATU WA CCM,NI HASIRA YA WATU WA LOWASA,NA ILA KULIKUWA HAKUNA JINSI chama kingekufa,watu wamechoka na ufisadi...... ENDELEA BABA KAMUA MJIPU YOOOOOTE TANZANIA YETU IPONE,POle majeruhi wote wakurugenzi wakuu walitolewa,ila...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ufisadi bilioni 5.7 wazuiwa Kinondoni

    HONGERA DC MAKONDA kwa uthubutu wako juu ya swala hili na huo ni wizi mweupe
  4. R

    JamiiForums Tanzania CAG akaidi agizo la Rais. Aenda Nairobi, Kenya bila kibali

    Kuomba kibali ni lazima,hata kama upo kamachumu,tena swali linakuja unaenda kufanya nini? Lamsingi Serikali iweke wazi Safari binafsi zinahitaji watumishi wafanye nini?? waonyeshe nini mpakani?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    UPINZANI wazalendo tumezoea DR. MAGUFULI kaleta watu hao watu watafanya kazi na kukimbia speed yake,TAFADHALI MBAKIZE MANENO YA KUONGEA KWA Rais huyu,yeye anajua anachofanya hakika.JK hana nguvu kabisa,ila Muhongo ni mtaalamu wa nguvu na atafnay kazi.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amekaribisha upinzani Serikalini mwake

    Hivi msomi mkuubwa unaouwezo wakununua shares za tpdc,leo unaambiwa mengi eti ndio mzalendo apewe bure kitalu cha tanzania kwa niaba yako ili yeye awekeze,kwakuwa ni mtanzania mzalendo......mengi ni tajiri yes..ila wananchi kwa ujumla wetu weengi ni matajiri mnoooooooo x 1000 zaidi na tunao...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mchakato Mahakama ya Mafisadi waanza

    wawakilishi wale wa Upinzani walikuwa wanataka SERIKALI TATU ILIPOSHINIDIKANA BASI ETI WALITOKA NA kulazimisha wafunge Bunge,,,,huo ulikuwa UZUZU MKUBWA ULIOPATA DEGREE AMBAO WATANZANIA WALITAKIWA WAWASHTAKI KWA KURA.KUNA MAMBO MEEENGI YALIWEKWA KATIKA KATIBA,NA WANGEUNGANA NA CCM WALE WENYE...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mchakato Mahakama ya Mafisadi waanza

    UNAKOSEA BADO SIO JINAI ILA KUNA neno linaitwa matumizi mabaya ya madarak na uhujumu uchumi,bado sheria haijakaa sawa. labda uweke kifungu.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mchakato Mahakama ya Mafisadi waanza

    Sheria haipo inayotaja wazi ufisadi ila ipo ya uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya madaraka,JAMANI TUWABANE HAWA WABUNGE WAUNGANE MUSWADA UKIINGIA WA HIYO MAHAKAMA NA KUWEKA NENO UFISADI KAMA KOSA KUBWA LA JINAI WAWEZE KUPITISHA TENA KWA NGUVU MOJA.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

    BAHARESA ANA PESA KWAHIO KUTETEWA NI DHAHIRI,ILA KWA MAGUFULI KA KWAA kisiski,akanyee debe ikigundulika kahusika na bidhaa zote ziwekwe mbali
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ukwepaji Kodi: Barua ya TRA kwa Bakhressa

    WOTE NI WAMOJA HAPO BAHARESA HAKWEPI KITU KAMWE,tra WATASIMAMISHWA NA bHARESA TALIPA KODO NA FINE HUSIKA,RAIS MAGUFULI HAKIKA NI MKOMBOZI SERIKALI ITAKUWA NA AKIBA YA HAZINA
  12. R

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Bakhresa Group kuhusiana na Upotevu wa Makontena

    Ukikutwa na magendo na wewe ni mhusika Mkuu na uchunguzwe,hivyo hata watetee vipi ukweli unabakia na kujikanyaga kwake kuwa wao pia ni katika waliohusika na kukwepa kodi,,....SSB ELEWENI ZILE ENZI ZA BURE NA BUUURE TUUU HAZIPO MLIPE AU MSEPE KWA,NI AIBU KUBWA MNO NA ULAYA AIBU HII YA KUKWEPA...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta Posho za vikao vya Kamati za Bunge na Bodi za Taasisi za Umma

    Jamani mtawaua wabunge angalau zipungue tu,hio njaa na wapiga kura kufolenisha kumwomba msaada mbunge...jamani
  14. R

    JamiiForums Tanzania Maofisa 12 wa TRA mbaroni, baadhi yao walihusika na Sakata la upotevu wa Makontena 349

    London matatizo mengnie ni ya kutatuliwa na level za chini mno,huyu Tingatinga aliahidi kuwa atadeal na watu wakubwa zaidi,wadogo watanyooka hata bila kuguswa.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Sex huweza kutumika kama njia kufikia roho yako (sex is a gate way to your soul)

    mmmmmmm hatari nakuamini tena sana,hii ni starehe na homons husika huongezeka ukitumia ila katika kuongeza hisia za kutaka zaidi unakuta nguvu nyingi za mwili huondoka....vijana wajue kuwa unaweza kuishi bila sex hadi muda muafaka
Back
Top Bottom