Recent content by RMC

  1. R

    Chini ya mshahara wa millioni mbili mnaishije mbona sielewi

    Subiri siku kipato kikishuka hadi laki 3 _ 6 utajua tu kubajeti. MUda huwa ni mwalimu mzuri.
  2. R

    Dada ukimpenda mwanaume, Unafanyaje akutongoze?

    Basi itabidi apitie mchakato wa kuliwa ndipo aolewe kama hao wangine waliopitia.
  3. R

    Dada ukimpenda mwanaume, Unafanyaje akutongoze?

    Kwani bikira ipo? Kama haipo hawezi kukwepa mchakato wa kuliwa kwanza bila garantii ya ndoa. Baada ya kuliwa kwa muda fulani kama mtu akinogewa na pia kama ana sifa ya kuwa mke ndipo sasa hatua ya pili ya ndoa itafuata. Asilazimishe kwa kuweka masharti wakati hana dhamana kuu ( bikira)...
  4. R

    Uchaguzi mkuu kiti cha Rais 2025 (video): Unabii waweka wazi kuwa ni Samia S. Hassan (CCM) vs Bishop Josephat Gwajima (CHADEMA)...

    Binadamu angekuwa hana tumbo angekuwa mtu mzuri sana lakini tumbo linafanya watu wathmie kila mbinu.
  5. R

    Joseph Musukuma: Kikokotoo kinawaumiza wananchi, tunatengeneza taifa la wezi

    We Inashangaza yaani unazungumza alinacha! Kama hujui jambo ni bora kukaa kimya kuliko kutunga hadithi ambazo huzijui. Andiko lako kwanza linaonyesha huna idea ya viwango vya mishahara serikalini watumishi wanavyolipwa ila na wewe kwa saba umetaka uonekane umechangia basi unaropokaropoka...
  6. R

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Po PIa na yale mambo ya futi sita kwa sita (anatoa kitu anapata kitu) yanawasaidia kupata.
  7. R

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Concept yangu hujaielewa ngoja nirudie. Kwanza kuna fomula ya kikokotoo anbayo inahusisha miezi aliyofanya mtu ambapo ili awwze kulipwa lazima iwe si chini ya miezi 120 ( miaka kumi minimum). Pili mtu halipwi kwa kufuata asilimia ya mshahara wake kiasi atakacholipwa mstaafu kinakokotolewa kwa...
  8. R

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Hauko sahihi, ukisoma andiko langu utaona nimetolea mfano vizuri. Ni hivi: kama watumishi wawili wamefanya kazi muda unaolingana ni kweli yule mwenye mshahara mkubwa atamzidi mwenye mshahara mdogo lakini kana mwenye mshahara mdogo anefanya kazi muda-mrefu kuliko nwenye mshahara mkubwa lakini...
  9. R

    Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mwandabila: Naona Kikokotoo kinawaweka Wastaafu katika hali nzuri

    Huyu mbunge ameamua kulisemea jambo ambalo halijui wala hajahangaika kuutafuta ukweli kwa kusilikiza hoja mbalimbali zinazoelezwa kuhusu kikokotoo. Inadhihirisha umaamuma wake, watu kama hawa ndio mtu ategemee wapitishe jambo lenye maslahi kwa nchi wakati hana uwezo wa kuelewa hata jambo lililo...
  10. R

    Yericko: Makonda Aitwe Bungeni,Tuhuma za Kesi ya Uhaini ya mawaziri, Na Generali Mobeyo Aitwe kueleza Bunge ukweli wa Kesi ya uhaini Uliofanyika 2021

    W Wewe Chadema huwezi kumtakia Mh Samia ashinde 2025, eti unamtahadharisha kabisa kuwa akiendelea kumuacha Makonda katika uongozi atashindwa uchaguzi. Kwani nyinyi Chadema mnataka Rais ashinde 2025? Unatumia fursa ya alichosema Mskonda kutaka kulipa kisasi kwa Rais kunfukuza kazi Makonda...
  11. R

    BAVICHA na huyo askofu Mwanamapinduzi mna Uhakika Ujenzi wa Bwawa la Nyerere limetumia Upembuzi Yakinifu wa 1972? Ni kweli Maji yamefunguliwa?

    Hivyo ni vitu viwili tofauti: Feasibility study inafanywa pale inapotakiwa kujua kama mradi kiuchumi/kijamii una manufaa katika jicho la kipesa zaidi ( faida dhidi ya gharama na je hiyo tofauti ni substantial, kama ni mradi wa kijamii hata kama manufaa kipesa sio makubwa lakini kijamii una...
  12. R

    Picha za watoto wa kiongozi wa hamas Ismail Haniyeh Waliouawa

    H Huyu gaidi mkuu ameumia sana kuuawa kwa wanawe watatu na wajukuu ila anajifariji kuwa haumii kwa sababu imeishatokea na hawezi tena kuwarudisha hai. Haniyeh amelipa damu za wapalestina aliowatumbukiza katika mauaji na mateso makubwa ya vita, pia amelipa damu za waisrael wasio na hatia...
  13. R

    BAVICHA na huyo askofu Mwanamapinduzi mna Uhakika Ujenzi wa Bwawa la Nyerere limetumia Upembuzi Yakinifu wa 1972? Ni kweli Maji yamefunguliwa?

    Jikite kwanza kuelewa maana ya Environment Empact Assessment ndipo utagundua hoja zako za kupinga Mradi wa Rufiji hazina mashiko ndio maana unachanganya mada. Hata wewe hapo ulipo unaharibu mazingira kutokana na shughuli unazofanya kwa sababu shughuli za binadamu zozote zile xina athari kwa...
  14. R

    Waafrika tuna matatizo gani?

    Sio lazima agombee ubunge ili aweze kugombea urais. Iko hivi baada ya uchaguzi chana chenye wabunge kinapendekeza mtu kutoka chama chao ( anaweza kuwa kiongozi wa chama au mtu wa kawaida) agembee urais na kura zinapigwa bungeni, anayepata kura nyingi kuwazidi wagombea wengine ndiyo anakuwa...
Back
Top Bottom