Recent content by RJ45

  1. RJ45

    Ajira: Sales and marketing nafasi 1

    Asante kwa ushauri mkuu. Japo tumeomba picha for identification purpose only na sio kuangalia uzuri ndio maana hata akituma passport inakubalika na ingekuwa wanatuma hard copy tungeomba passport lakini sio kila mtu ana digital version ya passport ndo maana tukaruhusu picha yoyote.
  2. RJ45

    Ajira: Sales and marketing nafasi 1

    We feel like we can’t afford a degree holder but kama uko flexible na upo tayari kugrow na kampuni unakaribishwa maana kampuni ni mpya. Nicheki kwa hio email tuyajenge!
  3. RJ45

    Ajira: Sales and marketing nafasi 1

    Habari! Anatafutwa mdada wa sales and marketing. Kwa kiwango cha mshahara tutapendelea mwenye certificate au diploma. Awe na knowledge ya kutumia computer na digital marketing. Office ipo Boko - DSM. Send CV and recent photo to: joerk2045@gmail.com Only shortlisted will be contacted.
  4. RJ45

    Car4Sale Toyota Passo inauzwa

    Sold out... Asanteni wote
  5. RJ45

    Car4Sale Toyota Passo inauzwa

    pole mkuu, nlitumia app kuweka picha ikaja moja tu... nimerekebisha karibu uone gari
  6. RJ45

    Car4Sale Toyota Passo inauzwa

    pole mkuu, nlitumia app kuweka picha ikaja moja tu... nimerekebisha karibu uone gari
  7. RJ45

    Car4Sale Toyota Passo inauzwa

    Engine size: 1KR 990 cc Well maintained Engine & Gear box[emoji736] Low fuel consumption [emoji736] Color: maroon[emoji736] Sports rims[emoji736] New Tires[emoji736] Seat covers[emoji736] Insurance valid to 2023[emoji736] Power side mirrors with turn light blinker[emoji736] Price 3.9m...
  8. RJ45

    Tetesi za usaili/interview Ardhi University

    Hakuna aliyeitwa?
  9. RJ45

    Tetesi za usaili/interview Ardhi University

    Salaam wakuu. Mwishoni mwa mwaka jana chuo kikuu cha ardhi kilitangaza nafasi za kazi na mwisho wa kutuma maombi ilikuwa ni tarehe 27/12/2020. Naomba kama kuna waliofanikiwa kuitwa kwenye usaili/interview watufahamishe maana walisema only shortlisted candidates will be contacted.
  10. RJ45

    Vituo gani vya mafuta vinauza super unleaded petrol hapa Tanzania

    kwa research ndogo nliofanya kila gari inafaa na wanashauri kutumia premium lakini sio kila gari inafaa kutumia unleaded. maana yake gari ambayo manufacturer ameshauri utumie unleaded ukitumia premium ni bora zaidi lakini gari ambayo wanarecommend premium unleaded ukitumia regular unleaded ni...
  11. RJ45

    Vituo gani vya mafuta vinauza super unleaded petrol hapa Tanzania

    habari zenu wakuu! nimekuwa nikifuatilia mjadala wa tofauti kati ya unleaded petrol na super/premium unleaded petrol nikagundua super unleaded ni nzuri kutumia kwa gari yoyote huku ikiwa na faida nyingi. naomba kufahamishwa kwa hapa tanzania ni kampuni gani au vituo vya mafuta vinauza hii super...
  12. RJ45

    PSRS: Majibu ya Maswali na Hoja za wadau, Desemba 2014/Januari 2015

    Hivi kuna ukweli kwamba ukiomba zaidi ya nafasi moja kwa taasisi moja kupitia ajira portal huchagiwi kabisa hata kama huna vigezo?!
  13. RJ45

    Nahitaji kujua ni chuo gani kinatoa kozi ya Graphics inayojitegemea

    PCTL training Institute ipo dar es salaam maeneo ya kisutu graphic design basic ni 400,000 unasoma Adobe photoshop, illustrator na indesign miezi miwili
  14. RJ45

    Nafasi za kazi University of Dar es Salaam (Immediate vacancies)

    Kama hujasoma UDSM hata usijutie kukosa ungepoteza pesa yako bure kutuma posta[emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom