Maana hii vita inapiganwa karibu na nchi ya urusi ingekua kuna uhatari wa kuhofia kupoteza vita urusi ingeshamaliza hii vita,na kingine nilichokiona katika vita hawa nato walikuwepo toka mwanzo wa vita ndio maana wametumia kila aina ya mbinu lakini amna mafanikio sasa hapo nato wamepaniki...
Mrusi hii vita ameimudu na anaimudu vibaya sanaa toka tulipotokea mpaka hapa alipofikia mrusi hii vita yeye ndio muamuzi,tunao ogopa ni sisi tu uku lakini mwenyewe wala hana wasiwasi west hii vita washaishindwa na hawana ubavu wa kufanya lolote hapa walipofikia wanapumulia machine wenyewe...
Na ndio maana tunajiuliza hawa watu wamepitia wapi mpaka wameingia Rostov kumbe wizara ndio imepanga mipango yote tuliyoiona hao waasi walikua NI wanajeshi WA Russia waliotoka ndani ya Rusia na ndio maana awakufanywa kitu wala hakuna aliyejeruhiwa waasi wanamuelekeza prigo nini aongee mchezo...
Kwa mchezo uliochezwa Jana pale Rostov ilikua ni mbinu ya kijasusi ambayo matokeo yake tutayaona hapo baadae ila Kwa akili niliyoiona Jana wale Askari walikua NI wanajeshi kutoka kambi za pale Rostov awakua PMC Wagner na ndio maana UKIONA damu imemwagika wala kurushiana risasi haijawai kutolea...
Jichunguze wewe haupo Sawa Una msongo WA MAWAZO unajisumbua,relax enjoy Maisha Mzee muache dogo awe smart jaribu kua nae karibu utanielewa Kwa nini anaish ivyo yeye Hana stress kama wewe yeye ameamua kuishi Maisha hayo Kwa wakati huu lakini hata yeye ana ndogo zake...
Usikate tamaa ingia katika maombi ya kumshukuru Mungu katika yote uliyopitia muombe mungu sasa hitaji lako unalohitaji katika Maisha ya sasa usihofu kuna baraka ipo inakusubilia
Habari,
Naomba kufahamu kuhusu nchi ya China na watu wake kuhusu elimYayao na maisha yao kwa ujumla.
Natamani mtoto wangu aende kusoma huko, pia ningependa kufahamu mengi yanayowahusu watu wa Uchina.
Brother utapoteza muda wako Kwa huo mchepuko Kwanza hauna adabu pili aukuheshimu tatu ninmcharuko kwaiyo umeingia Choo cha kulipia bila Hela Fanya ujinasue Amna mwanamke hapo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.