Recent content by riz runners255

  1. riz runners255

    JamiiForums Tanzania Ni wapi kwa Dar es Salaam naweza jiunga na club ya kuogelea?

    Utalatibu ukoje kujiunga, kuna walimu mana cna uzoefu sana na mchezo huo nlikuwa naitaji sehem kama club hvi nweze kujifunza zaid
  2. riz runners255

    JamiiForums Tanzania Ni wapi kwa Dar es Salaam naweza jiunga na club ya kuogelea?

    Mimi ni kijana mtanzania, umri wangu ni miaka 27. Nimetokea kuupenda mchezo wa kuogelea na kuhitaji kujifunza ila sijui pa kuanzia. Please msaada kwa anayefahamu.
  3. riz runners255

    JamiiForums Tanzania Magufuli afanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa, Wilaya. Mulongo atemwa, Polepole ahamishiwa Ubungo..

    Wale wote n waandishi was habari sio maswala ya kichama kaka
  4. riz runners255

    JamiiForums Tanzania Magufuli afanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa, Wilaya. Mulongo atemwa, Polepole ahamishiwa Ubungo..

    Godwin ccm kitambo. Aligombea ubunge mwanza ccm akapgwa chini kwenye kura za maoni
  5. riz runners255

    JamiiForums Tanzania Magufuli afanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa, Wilaya. Mulongo atemwa, Polepole ahamishiwa Ubungo..

    KIPPI WARIOBA - MOSHI GODFREY GONDWE - HANDENI NDIO NINAO WAJUA NA KIUKWELI NI WATENDAJI WAZURI... WANAENDANA NA SERA YA HAPA KAZI TU
  6. riz runners255

    JamiiForums Tanzania E-FM punguzeni utoto hata mkikosa cha kuongea

    Ni sport headquarters
  7. riz runners255

    JamiiForums Tanzania E-FM punguzeni utoto hata mkikosa cha kuongea

    Kwanza E-fm hawana kipindi kinaitwa sport extra jipange wewe mamluki tushakshtukia. Huu mchezo hauitaji hasira #ndioooooooooooo
  8. riz runners255

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi 8 za kupata ajira popote ukiwa umemaliza chuo hizi hapa

    Thanx nmejifunza kitu
Back
Top Bottom