Recent content by RITZDEO

  1. R

    JamiiForums Tanzania CAS is now open for 2nd round applications only

    ni kwel bna msiwe wabishi wakat at hamjaangalia we ingia kwene profile yako utaona
  2. R

    JamiiForums Tanzania JKT kwa walimu Wa 2015

    mwenye source atupie
  3. R

    JamiiForums Tanzania Msaada, sijatumiwa voucher number kutoka TCU

    Mimi tangu juzi nimetuma pesa kupitia mpesa kwenda TCU na sms ya uthibitisho kutoka Vodacom ikaja kuwa ile pesa imeeenda TCU lakini sijatumiwa voucher number hadi leo kutoka TCU. Nnimewapigia vodacom wanasema wao pesa washatuma kwenda tcu ko wakanipa namba za TCU ili niwapigie TCU lakin ile...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nape asema uchaguzi wa mwaka huu CCM itatimua wezi wote(VIDEO)

    cdhan kama itawezekana mana ata nape mwenyewe asipoangalia atatanunuliwa na EL dakika za mwixho
  5. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuomba mkopo HESLB

    poa ndugu.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuomba mkopo HESLB

    mi nimelipia sh 30000 kwa mpesa kwenda HESLB tangu juma tatu, voda wakanitumia ile sms ya uthibitisho ambayo ina ID transaction lakin paka leo hii nikiingiza izo ID transaction kwene OLAS ili niapply wananiambia kwamba invalid transaction wakati nimeshalipia, nikawapigia voda kuwaeleza tatizo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania TAMKO la UKAWA kuhusu Uchaguzi Mkuu, Kura ya Maoni na mwafaka wa majimbo

    safi sana ukawa tupo pamoja, wale mapapalazi wote yaan CCM B watasubir sana.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wapi Majina ya waliochaguliwa Kidato cha Kwanza 2015?

    ngoja nami nipite kimya2 kama sipo,
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kusoma Postgraduate ya Education

    ingia kwene website a udom wameelezea vizuri sana mkuu,
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kozi bora za kusoma

    yoyote unayoona inakufaa mkuu.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Loan allocation once again

    JAMAN MI KUNA DOGO YUPO UDOM ANASOMA BACHELOR OF BUSNESSS ADMINISTRATION UKIMULIZA KAMA ANA MKOPO AU HANA ANASEMA ANA MKOPO LAKIN UKIANGALIA KWENYE SYSTEM YA KUJUA KAMA UNA MKOPO AU HUNA(LOAN ALLOCATION ) WANASEMA IVI The student with Index number 'S3623.0128.2011' did not secure a higher...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Taratibu za ku-appeal (HESLB) 2014/2015

    madogo mta appeal mkiwa chuo nadhan kuanzia mwez wa 12 ndo loan watoa process za ku appeal.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

    Habari wakuu, Anaeifaham Bsc in bio-processing and post harvest engineering au kama umechaguliwa 2kutane hapa. Natanguliza shukraan
  14. R

    JamiiForums Tanzania BSc. in Bio- processing & Post-Harvest Engineering(SUA)

    kwa anae ifaham iyo kozi apo juu, naomben mchango wenu
  15. R

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Wanafunzi wa vyuo Vikuu hadi Sept 22 -TCU

    watalia na kusaga meno wap wakat vyuo walichagua wao wenyewe, wasiwasi wako tu, kama wale wa 22nd around washajua vyuo walivyopangiwa
Back
Top Bottom