Recent content by Rise-up

  1. Rise-up

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi CBE ajiua kisa mapenzi

    He died of PAPUCHI
  2. Rise-up

    JamiiForums Tanzania Celebrities acheni tabia ya kuomba kura kwa fujo

    Apo kweli?
  3. Rise-up

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wadada kushinda mitandaoni kuomba wanaume vocha na pesa inakera!

    Ukitoa vocha unapata nn?
  4. Rise-up

    JamiiForums Tanzania Celebrities acheni tabia ya kuomba kura kwa fujo

    Hapa sas tupo pamoja
  5. Rise-up

    JamiiForums Tanzania Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

    Full interview hii hapa Mwenye uzi weka video mwanzo huko
  6. Rise-up

    JamiiForums Tanzania Celebrities acheni tabia ya kuomba kura kwa fujo

    Tuzo kama MTVMAMA2016 watz walihamasisha kupiga kula na watu wakapiga kweli mwisho wa siku hkn tuzo, unajua kwann? MTVMAMA2016 hawakuangalia kura peke yake waliangalia kazi za wasanii pia. ombi langu: wapunguze kuomba kura kama walifanya kazi nzuri watashinda tu.
  7. Rise-up

    JamiiForums Tanzania Celebrities acheni tabia ya kuomba kura kwa fujo

    Kabla ya tuzo kutangazwa au kutolewa wafanye kazi nzuri waache kuomba kura wkt wakijua hawajafanya chochote. Wabongo hata akiwekwa na DRAKE atataka ashinde hata kama hajatoa nyimbo
  8. Rise-up

    JamiiForums Tanzania Celebrities acheni tabia ya kuomba kura kwa fujo

    Mambo, Hapa katikati kumeibuka tuzo nyingi tu kwa wasanii wetu wa nyumbani kwa mfano InstAwards, sasa hawa wasaniii wamekuwa wakiomba kura kila siku wamesahau kuwa kazi nzuri ndo inafanya upigiwe kura. Hata tuzo za kimataifa wasanii wanatumia muda mwingi kuomba kula na kuacha kufanya kazi...
  9. Rise-up

    JamiiForums Tanzania Rich Mavoko feat Diamond ''Kokoro'' ni habari mpya ya mjini

    Copy and paste paste
  10. Rise-up

    JamiiForums Tanzania Rich Mavoko feat Diamond ''Kokoro'' ni habari mpya ya mjini

    Le mburulazzz
  11. Rise-up

    JamiiForums Tanzania Rich Mavoko feat Diamond ''Kokoro'' ni habari mpya ya mjini

    Ni njia za kuipa kiki
  12. Rise-up

    JamiiForums Tanzania Rich Mavoko feat Diamond ''Kokoro'' ni habari mpya ya mjini

    Baadhi ya shot katika video hii wamecopy kutoka video ya lil wayne hii hapa chini Hizi hapa picha zinazoesha vipande hivyo Hizi za Mavoko sasa
  13. Rise-up

    JamiiForums Tanzania Rich Mavoko feat Diamond ''Kokoro'' ni habari mpya ya mjini

    Audio Kaliiiii
  14. Rise-up

    JamiiForums Tanzania Kama we ni mzungu usijaribu kumuita mtu mweusi Nigga

    Hivi ni video ya utani toka youtube ikionyesha jamaa akiwaita black america nigga, unajua nn kitatokea? Tazama
Back
Top Bottom